Nenda kwa yaliyomo

Taka : Tofauti kati ya masahihisho

39 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:WasteFinalDeposited.jpg|thumb|235x235px|Taka zikiwa kwenye [[shimo]].]]
'''Taka''' au '''takataka''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: ''waste, trash, garbage, rubbish, junk'') ni mabaki ya [[vitu]], pia yale yanayobaki baada ya kuzalisha vitu, pamoja na yale yaliyotumiwa tayari na ambayo hayana matumizi tena.
 
Takataka ni kila [[dutu]] inayotupwa baada ya matumizi yake, au yenye kasoro na kwa hiyo haiwezi kutumika tena. Takataka hutupwa.
 
==Neno==
Taka au takataka inamaanisha kiasili uchafu, kinachotupwa, kinachofagiwa, au pia vitu vidogo vya [[shamba]] visivyo na thamani kubwa<ref>linganisha [[Krapf (1882)]], "taka", pia [[Madan (1903)]] </ref>.
 
==Aina za takataka==
Takataka inaweza kutokea kwa hali [[mango]] au [[kiowevu]]. gesi[[Gesi]] chafu kwa kawaida haihesabiki kati ya takataka, isipokuwa gesi iliyobaki katika vyombo pamoja na vyombo vile.
 
*[[Taka ogania]]
*[[Taka metali]]
Line 25 ⟶ 24:
Hivyo tunashauriwa kutupa taka kwenye [[mashimo]] na kisha kuzichoma [[moto]] ili zisije zikaleta [[madhara]] kwenye jamii.
 
==Tanbihi==
 
<references/>
 
 
{{mbegu-biolojia}}