Taka : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 9: Mstari 9:
==Aina za takataka==
==Aina za takataka==
Takataka inaweza kutokea kwa hali [[mango]] au [[kiowevu]]. gesi chafu kwa kawaida haihesabiki kati ya takataka, isipokuwa gesi iliyobaki katika vyombo pamoja na vyombo vile.
Takataka inaweza kutokea kwa hali [[mango]] au [[kiowevu]]. gesi chafu kwa kawaida haihesabiki kati ya takataka, isipokuwa gesi iliyobaki katika vyombo pamoja na vyombo vile.

*[[Taka ogania]]
*[[Taka metali]]
*[[Taka za plastiki]]
*[[Taka kemia]]
*[[Taka nyuklia]]


==Hasara za taka==
==Hasara za taka==

Pitio la 22:20, 19 Mei 2019

Taka zikiwa kwenye shimo.

Taka au takataka (ing. waste, trash, garbage, rubbish, junk) ni mabaki ya vitu, pia yale yanayobaki baada ya kuzalisha vitu, pamoja na yale yaliyotumiwa tayari na ambayo hayana matumizi tena.

Takataka ni kila dutu inayotupwa baada ya matumizi yake, au yenye kasoro na kwa hiyo haiwezi kutumika tena. Takataka hutupwa.

Neno

Taka au takataka inamaanisha kiasili uchafu, kinachotupwa, kinachofagiwa, au pia vitu vidogo vya shamba visivyo na thamani kubwa[1].

Aina za takataka

Takataka inaweza kutokea kwa hali mango au kiowevu. gesi chafu kwa kawaida haihesabiki kati ya takataka, isipokuwa gesi iliyobaki katika vyombo pamoja na vyombo vile.

Hasara za taka

Taka zina athari nyingi katika jamii. Athari hizo niː

Hivyo tunashauriwa kutupa taka kwenye mashimo na kisha kuzichoma moto ili zisije zikaleta madhara kwenye jamii.


  1. linganisha Krapf (1882), "taka", pia Madan (1903)


Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.