Taka : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:WasteFinalDeposited.jpg|thumb|235x235px|Taka zikiwa kwenye [[shimo]].]]
[[Picha:WasteFinalDeposited.jpg|thumb|235x235px|Taka zikiwa kwenye [[shimo]].]]
'''Taka''' au '''takataka''' (ing. ''waste, trash, garbage, rubbish, junk'') ni mabaki ya vitu, pia yale yanayobaki baada ya kuzalisha vitu, pamoja na yale yaliyotumiwa tayari na ambayo hayana matumizi tena.
'''Taka''' (kwa [[Kiingereza]] "waste") ni [[bidhaa]] au [[kitu]] chochote kisichohitajika au kisichoweza kutumika tena, au ni [[kifaa]] chochote kilichotupwa baada ya matumizi ya [[msingi]] kwa kuwa hakina [[kazi]] yoyote kwa mtumiaji.


Takataka ni kila dutu inayotupwa baada ya matumizi yake, au yenye kasoro na kwa hiyo haiwezi kutumika tena. Takataka hutupwa.

==Neno==
Taka au takataka inamaanisha kiasili uchafu, kinachotupwa, kinachofagiwa, au pia vitu vidogo vya shamba visivyo na thamani kubwa<ref>linganisha [[Krapf (1882)]], "taka", pia [[Madan (1903)]] </ref>.

==Aina za takataka==
Takataka inaweza kutokea kwa hali [[mango]] au [[kiowevu]]. gesi chafu kwa kawaida haihesabiki kati ya takataka, isipokuwa gesi iliyobaki katika vyombo pamoja na vyombo vile.

==Hasara za taka==
Taka zina [[athari]] nyingi katika [[jamii]]. Athari hizo niː
Taka zina [[athari]] nyingi katika [[jamii]]. Athari hizo niː
̽*1. Taka husababisha [[magonjwa]] mbalimbali ikiwemo [[homa ya manjano]],[[minyoo]], [[kansa]] n.k.
*1. Taka husababisha [[magonjwa]] mbalimbali ikiwemo [[homa ya manjano]],[[minyoo]], [[kansa]] n.k. hasa zikitokea karibu na makazi ya watu.
*2. Husababisha [[uharibifu wa mazingira]]: hufanya [[mazingira]] kuwa machafu.
*2. Husababisha [[uharibifu wa mazingira]]: hufanya [[mazingira]] kuwa machafu.
*3. Taka husababisha uharibifu wa [[maji]], [[misitu]] n.k.
*3. Taka husababisha uharibifu wa [[maji]], [[misitu]] n.k.
Mstari 9: Mstari 18:


Hivyo tunashauriwa kutupa taka kwenye [[mashimo]] na kisha kuzichoma [[moto]] ili zisije zikaleta [[madhara]] kwenye jamii.
Hivyo tunashauriwa kutupa taka kwenye [[mashimo]] na kisha kuzichoma [[moto]] ili zisije zikaleta [[madhara]] kwenye jamii.


<references/>



{{mbegu-biolojia}}
{{mbegu-biolojia}}


[[Jamii:Ekolojia]]
[[Jamii:Ekolojia]]
[[Jamii:Takataka]]

Pitio la 14:09, 19 Mei 2019

Taka zikiwa kwenye shimo.

Taka au takataka (ing. waste, trash, garbage, rubbish, junk) ni mabaki ya vitu, pia yale yanayobaki baada ya kuzalisha vitu, pamoja na yale yaliyotumiwa tayari na ambayo hayana matumizi tena.

Takataka ni kila dutu inayotupwa baada ya matumizi yake, au yenye kasoro na kwa hiyo haiwezi kutumika tena. Takataka hutupwa.

Neno

Taka au takataka inamaanisha kiasili uchafu, kinachotupwa, kinachofagiwa, au pia vitu vidogo vya shamba visivyo na thamani kubwa[1].

Aina za takataka

Takataka inaweza kutokea kwa hali mango au kiowevu. gesi chafu kwa kawaida haihesabiki kati ya takataka, isipokuwa gesi iliyobaki katika vyombo pamoja na vyombo vile.

Hasara za taka

Taka zina athari nyingi katika jamii. Athari hizo niː

Hivyo tunashauriwa kutupa taka kwenye mashimo na kisha kuzichoma moto ili zisije zikaleta madhara kwenye jamii.


  1. linganisha Krapf (1882), "taka", pia Madan (1903)


Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.