Kalenga : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Iringa and Alt-Iringa.png|thumb|Ramani ya 1914 ya Kijerumani inaonyesha Iringa (iliyoundwa kama kituo cha Kijerumani na kuwa mji wa leo) pamoja "Alt-Iringa", inayojulikana leo kama Kalenga. Hii ilikuwa mji mkuu wa Mtemi Mkwawa.]]
[[Picha:Iringa and Alt-Iringa.png|thumb|Ramani ya 1914 ya Kijerumani inaonyesha Iringa (iliyoundwa kama kituo cha Kijerumani na kuwa mji wa leo) pamoja "Alt-Iringa", inayojulikana leo kama Kalenga. Hii ilikuwa mji mkuu wa Mtemi Mkwawa.]]
'''Kalenga ''' ni [[jina]] la [[kata]] ya [[Wilaya ya Iringa Vijijini]] katika [[Mkoa wa Iringa]], [[Tanzania]] yenye [[Postikodi Tanzania|Postikodi namba]] 51201. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,963 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Iringa Region- Iringa District Council]</ref> [[Msimbo wa posta]] ni 51201.
'''Kalenga ''' ni [[jina]] la [[kata]] ya [[Wilaya ya Iringa Vijijini]] katika [[Mkoa wa Iringa]], [[Tanzania]] yenye [[Postikodi Tanzania|Postikodi namba]] 51201. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,963 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Iringa Region- Iringa District Council]</ref> [[Msimbo wa posta]] ni 51201.


Hadi mwanzo wa ukoloni Kalenga ilitwa pia "Iringa"; baada ya Wajerumani kuanzisha "Iringa Mpya" ''(Neu-Iringa)'' kwenye mahali pa mji wa leo waliita mahali asilia "Iringa ya Kale" ''(Alt-Iringa)''<ref>[[Kamusi ya Koloni za Kijerumani (1920)]], makala "Iringa", [http://www.ub.bildarchiv-dkg.uni-frankfurt.de/Bildprojekt/Lexikon/php/suche_db.php?suchname=Iringa online hapa (jer.)]</ref>.
Hadi mwanzo wa [[ukoloni]] Kalenga ilitwa pia "Iringa"; baada ya [[Wajerumani]] kuanzisha "Iringa Mpya" ''(Neu-Iringa)'' mahali pa mji wa leo, waliita mahali asilia "Iringa ya Kale" ''(Alt-Iringa)''<ref>[[Kamusi ya Koloni za Kijerumani (1920)]], makala "Iringa", [http://www.ub.bildarchiv-dkg.uni-frankfurt.de/Bildprojekt/Lexikon/php/suche_db.php?suchname=Iringa online hapa (jer.)]</ref>.


==Kalenga-Iringa na historia ya mtemi Mkwawa==
==Kalenga-Iringa na historia ya mtemi Mkwawa==
[[Picha:Iringa - Kalenga 1894.png|thumb|320px|Ramani ya Kalenga - Iringa mnamo mwaka 1897 (mchoro unaonyesha shambulio la vikosi vya [[Schutztruppe]] ya Wajerumani)]]
[[Picha:Iringa - Kalenga 1894.png|thumb|320px|Ramani ya Kalenga - Iringa mnamo mwaka 1897 (mchoro unaonyesha shambulio la vikosi vya [[Schutztruppe]] ya Wajerumani)]]
[[Picha:Skull of Mkwawa.jpg|thumb|320px|[[Fuvu la kichwa]] cha Mtemi Mkwawa katika makumbusho ya Kalenga.]]
[[Picha:Skull of Mkwawa.jpg|thumb|320px|[[Fuvu la kichwa]] cha Mtemi Mkwawa katika makumbusho ya Kalenga.]]
Kalenga ilikuwa [[makao makuu]] ya [[Mtemi]] [[Mkwawa]]<ref>[http://www.mkwawa.com/kalenga Fungu "Kalenga" kwenye Mkwawa.com], iliangaliwa Machi 2017</ref> aliyeongoza [[upinzani]] wa [[Wahehe]] dhidi ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] katika miaka ya [[1891]] - [[1896]].


Kalenga ilikuwa [[makao makuu]] ya [[Mtemi]] [[Mkwawa]]<ref>[http://www.mkwawa.com/kalenga Fungu "Kalenga" kwenye Mkwawa.com], iliangaliwa Machi 2017</ref> aliyeongoza [[upinzani]] wa [[Wahehe]] dhidi ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] katika miaka ya [[1891]] - [[1896]]. Huko Kalenga Mkwawa aliwahi kujenga [[boma]] imara ya [[mawe]] baada ya kujifunza kuhusu uenezaji wa Wajerumani kutoka sehemu za [[pwani]]. Boma hii liliitwa Lipuli. [[Ujenzi]] ulianza mnamo [[1887]] ukachukua miaka minne. Mji wote ulijulikana kama "Iringa" maana jina hili linataja mahali palipoviringishwa na ukuta<ref>Glauning (1898) uk. 47; Glauning (aliyekuwa afisa wa jeshi la Kijerumani alitaja pia miji mingine iliyoitwa "Iringa" kama iliviringishwa na ukuta, kwa mfano Utengule wa Mtemi Merere wa Usangu</ref>.
Huko Kalenga Mkwawa aliwahi kujenga [[boma]] imara ya [[mawe]] baada ya kujifunza kuhusu uenezi wa Wajerumani kutoka sehemu za [[pwani]]. Boma hii liliitwa Lipuli. [[Ujenzi]] ulianza mnamo [[1887]] ukachukua miaka minne. Mji wote ulijulikana kama "Iringa" maana jina hili linataja mahali palipozungukwa na [[ukuta]]<ref>Glauning (1898) uk. 47; Glauning (aliyekuwa afisa wa jeshi la Kijerumani alitaja pia miji mingine iliyoitwa "Iringa" kama ilizungukwa na ukuta, kwa mfano Utengule wa Mtemi Merere wa Usangu</ref>.


Baada ya kushindwa kwa jeshi la [[Schutztruppe]] la Kijerumani katika mapigano ya [[Lugalo]] mwaka 1891, Wajerumani walirudi kwa nguvu zaidi wakashambulia Lipuli - Kalenga kwenye Oktoba [[1894]] kwa [[silaha]] kali kama [[mizinga]] na [[bombomu]].
Baada ya kushindwa kwa [[jeshi]] la Kijerumani la [[Schutztruppe]] katika mapigano ya [[Lugalo]] mwaka 1891, Wajerumani walirudi kwa nguvu zaidi wakashambulia Lipuli - Kalenga kwenye [[Oktoba]] [[1894]] kwa [[silaha]] kali kama [[mizinga]] na [[bombomu]].


Mkwawa alifaulu kukimbia wakati wa kutekwa kwa boma. Akaendelea kuendesha [[vita ya msituni]] hadi kujiua mwaka [[1898]] alipoona hatari ya kukamatwa ilhali alijeruhiwa vibaya. Inasemekana Wajerumani walikata [[kichwa]] chake na kutuma fuvu [[Ujerumani]].
Mkwawa alifaulu kukimbia wakati wa kutekwa kwa [[boma]] akaendesha [[vita ya msituni]] hadi [[kujiua]] mwaka [[1898]] alipoona hatari ya kukamatwa ilhali alijeruhiwa vibaya. Inasemekana Wajerumani walikata [[kichwa]] chake na kutuma [[fuvu]] lake [[Ujerumani]].


Baada ya kushindwa kwa Ujerumani katika [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]], washindi, hasa [[Uingereza]], walisisitiza fuvu lirudishwe: hivyo kuna fungu 246 katika [[Mkataba wa Versailles]] linalotaja fuvu la Mkwawa. Wajerumani walidai baadaye wanashindwa kulikuta, hivyo ilichelewa hadi baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] wakati [[jeshi]] la Uingereza lilikuwa na [[utawala]] juu ya sehemu za Ujerumani ya kwamba Waingereza waliteua fuvu moja katika mkusanyiko wa [[Makumbusho ya Bremen]] na kulituma [[Tanganyika]] kama fuvu la Mkwawa.
Baada ya kushindwa kwa [[Ujerumani]] katika [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]], washindi, hasa [[Uingereza]], walisisitiza fuvu lirudishwe: hivyo kuna fungu 246 katika [[Mkataba wa Versailles]] linalotaja fuvu la Mkwawa. Wajerumani walidai baadaye kuwa wanashindwa kulikuta, hivyo walichelewa hadi baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] wakati [[jeshi]] la Uingereza lilipokuwa na [[utawala]] juu ya sehemu ya Ujerumani ya kwamba Waingereza waliteua fuvu [[moja]] katika mkusanyiko wa [[Makumbusho ya Bremen]] na kulituma [[Tanganyika]] kama fuvu la Mkwawa.
Kalenga kuna makumbusho kwa heshima ya Mtemi Mkwawa na fuvu hilo linahifadhiwa humo tangu kurudishwa mwaka [[1954]].
Kalenga kuna [[makumbusho]] kwa [[heshima]] ya Mtemi Mkwawa na fuvu hilo linahifadhiwa humo tangu kurudishwa mwaka [[1954]].


==Marejeo==
==Tanbihi==
{{marejeo}}
{{marejeo}}

==Marejeo==
* [http://brema.suub.uni-bremen.de/download/pdf/2143167?name=Uhehe Glauning, Hans: Uhehe; Berlin, 1898] (Verhandlungen der Abteilung Berlin-Charlottenburg / Deutsche Kolonialgesellschaft, Electronic Edition Bremen : Staats- und Universitätsbibliothek, 2018, URN urn:nbn:de:gbv:46:1-15493)
* [http://brema.suub.uni-bremen.de/download/pdf/2143167?name=Uhehe Glauning, Hans: Uhehe; Berlin, 1898] (Verhandlungen der Abteilung Berlin-Charlottenburg / Deutsche Kolonialgesellschaft, Electronic Edition Bremen : Staats- und Universitätsbibliothek, 2018, URN urn:nbn:de:gbv:46:1-15493)


{{Kata za Wilaya ya Iringa Vijijini}}
{{Kata za Wilaya ya Iringa Vijijini}}

{{mbegu-jio-iringa}}
{{mbegu-jio-iringa}}



Pitio la 05:32, 19 Mei 2019

Ramani ya 1914 ya Kijerumani inaonyesha Iringa (iliyoundwa kama kituo cha Kijerumani na kuwa mji wa leo) pamoja "Alt-Iringa", inayojulikana leo kama Kalenga. Hii ilikuwa mji mkuu wa Mtemi Mkwawa.

Kalenga ni jina la kata ya Wilaya ya Iringa Vijijini katika Mkoa wa Iringa, Tanzania yenye Postikodi namba 51201. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,963 waishio humo.[1] Msimbo wa posta ni 51201.

Hadi mwanzo wa ukoloni Kalenga ilitwa pia "Iringa"; baada ya Wajerumani kuanzisha "Iringa Mpya" (Neu-Iringa) mahali pa mji wa leo, waliita mahali asilia "Iringa ya Kale" (Alt-Iringa)[2].

Kalenga-Iringa na historia ya mtemi Mkwawa

Ramani ya Kalenga - Iringa mnamo mwaka 1897 (mchoro unaonyesha shambulio la vikosi vya Schutztruppe ya Wajerumani)
Fuvu la kichwa cha Mtemi Mkwawa katika makumbusho ya Kalenga.

Kalenga ilikuwa makao makuu ya Mtemi Mkwawa[3] aliyeongoza upinzani wa Wahehe dhidi ya ukoloni wa Kijerumani katika miaka ya 1891 - 1896.

Huko Kalenga Mkwawa aliwahi kujenga boma imara ya mawe baada ya kujifunza kuhusu uenezi wa Wajerumani kutoka sehemu za pwani. Boma hii liliitwa Lipuli. Ujenzi ulianza mnamo 1887 ukachukua miaka minne. Mji wote ulijulikana kama "Iringa" maana jina hili linataja mahali palipozungukwa na ukuta[4].

Baada ya kushindwa kwa jeshi la Kijerumani la Schutztruppe katika mapigano ya Lugalo mwaka 1891, Wajerumani walirudi kwa nguvu zaidi wakashambulia Lipuli - Kalenga kwenye Oktoba 1894 kwa silaha kali kama mizinga na bombomu.

Mkwawa alifaulu kukimbia wakati wa kutekwa kwa boma akaendesha vita ya msituni hadi kujiua mwaka 1898 alipoona hatari ya kukamatwa ilhali alijeruhiwa vibaya. Inasemekana Wajerumani walikata kichwa chake na kutuma fuvu lake Ujerumani.

Baada ya kushindwa kwa Ujerumani katika Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, washindi, hasa Uingereza, walisisitiza fuvu lirudishwe: hivyo kuna fungu 246 katika Mkataba wa Versailles linalotaja fuvu la Mkwawa. Wajerumani walidai baadaye kuwa wanashindwa kulikuta, hivyo walichelewa hadi baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia wakati jeshi la Uingereza lilipokuwa na utawala juu ya sehemu ya Ujerumani ya kwamba Waingereza waliteua fuvu moja katika mkusanyiko wa Makumbusho ya Bremen na kulituma Tanganyika kama fuvu la Mkwawa.

Kalenga kuna makumbusho kwa heshima ya Mtemi Mkwawa na fuvu hilo linahifadhiwa humo tangu kurudishwa mwaka 1954.

Tanbihi

  1. Sensa ya 2012, Iringa Region- Iringa District Council
  2. Kamusi ya Koloni za Kijerumani (1920), makala "Iringa", online hapa (jer.)
  3. Fungu "Kalenga" kwenye Mkwawa.com, iliangaliwa Machi 2017
  4. Glauning (1898) uk. 47; Glauning (aliyekuwa afisa wa jeshi la Kijerumani alitaja pia miji mingine iliyoitwa "Iringa" kama ilizungukwa na ukuta, kwa mfano Utengule wa Mtemi Merere wa Usangu

Marejeo

Kata za Wilaya ya Iringa Vijijini - Tanzania

Idodi | Ifunda | Ilolompya | Itunundu | Izazi | Kalenga | Kihanga | Kihorogota | Kising'a | Kiwere | Luhota | Lumuli | Lyamgungwe | Maboga | Magulilwa | Mahuninga | Malengamakali | Masaka | Mboliboli | Mgama | Migoli | Mlenge | Mlowa | Mseke | Nyang'oro | Nzihi | Ulanda | Wasa


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kalenga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.