Asilimia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 10 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11229 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Asilimia''' ni njia ya kutaja uhusiano kati ya viasi viwili. Alama yake ni '''<big>%</big>'''. Kiasi kimoja huteuliwa kuwa ni namba ya 100 ya kiasi kingine. Sehemu yake ya mia ni 1 %.
'''Asilimia''' (kutoka [[Kiarabu]]) ni njia ya kutaja uhusiano kati ya [[idadi]] mbili tofauti. [[Alama]] yake ni '''<big>%</big>'''. Kiasi kimoja huteuliwa kuwa ni [[namba]] ya 100 ya kiasi kingine. [[Sehemu]] yake ya [[mia]] ni 1 %.


Sasa inawezekana kugawa kiasi kingine kwa ile 1% na kuona inashika asilimia ngapi za kiasi husianifu.
Sasa inawezekana kugawa kiasi kingine kwa ile 1% na kuona inashika asilimia ngapi za kiasi husianifu.


==Mfano==
==Mfano==
Mfano: Jumla ya maksi kwenye mtihani ni 250. Sheria inasema ya kwamba 65 % ni sharti kwa kupita. Je maksi ngapi zinahitajika ila kupita mtihani huu?
Mfano: Jumla ya maksi kwenye [[mtihani]] ni 250. [[Sheria]] inasema ya kwamba 65 % ni sharti kwa kupita. Je, maksi ngapi zinahitajika ila kupita mtihani huu?


Jibu: Jumla ni 250 hivyo 250 zachukuliwa kama asilimia mia moja. Sehemu ya mia moja yaani 1 % ni 2.5. Asilimia 65 ni 2.5 zidisha 65 jumla 162.5. Maana yake kuanzia maksi zisizopungua 163 mwanafunzi amepita.
Jibu: Jumla ni 250, hivyo 250 zachukuliwa kama asilimia [[mia moja]]. Sehemu ya mia moja yaani 1 % ni 2.5. Asilimia 65 ni 2.5, zidisha 65 jumla 162.5. Maana yake kuanzia maksi zisizopungua 163 [[mwanafunzi]] amepita.


==Sehemu na asilimia==
==Sehemu na asilimia==
Mstari 63: Mstari 63:
Sehemu kama [[sudusi]] haifai vizuri kwa sababu asilimia yake ni 16.66 %.
Sehemu kama [[sudusi]] haifai vizuri kwa sababu asilimia yake ni 16.66 %.


{{mbegu-sayansi}}
{{mbegu-hisabati}}
[[Category:Hisabati]]
[[Category:Hisabati]]

Pitio la 10:49, 15 Mei 2019

Asilimia (kutoka Kiarabu) ni njia ya kutaja uhusiano kati ya idadi mbili tofauti. Alama yake ni %. Kiasi kimoja huteuliwa kuwa ni namba ya 100 ya kiasi kingine. Sehemu yake ya mia ni 1 %.

Sasa inawezekana kugawa kiasi kingine kwa ile 1% na kuona inashika asilimia ngapi za kiasi husianifu.

Mfano

Mfano: Jumla ya maksi kwenye mtihani ni 250. Sheria inasema ya kwamba 65 % ni sharti kwa kupita. Je, maksi ngapi zinahitajika ila kupita mtihani huu?

Jibu: Jumla ni 250, hivyo 250 zachukuliwa kama asilimia mia moja. Sehemu ya mia moja yaani 1 % ni 2.5. Asilimia 65 ni 2.5, zidisha 65 jumla 162.5. Maana yake kuanzia maksi zisizopungua 163 mwanafunzi amepita.

Sehemu na asilimia

Kuna viwango kadhaa za sehemu zinazokumbukwa kirahisi kwa asilimia:

Sehemu Asilimia
Nusu 50 %
robo 25 %
robo tatu 75 %
theluthi 33 %
humusi 20 %
humusi mbili 40 %
ya kumi 10 %


Sehemu kama sudusi haifai vizuri kwa sababu asilimia yake ni 16.66 %.

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asilimia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.