Ugiriki ya Kale : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Ugiriki ya Kale''' ni kipindi katika historia ambapo Ugiriki ulipanuka katika eneo kubwa la [[Mediteraneo|Mediteranea]] na Bahari Nyeusi, na kudumu kwa karibu [[milenia]] moja, hadi [[Ukristo]] ulipoanza.
'''Ugiriki ya Kale''' ni kipindi katika historia ambapo Ugiriki ulipanuka katika eneo kubwa la [[Mediteraneo|Mediteranea]] na [[Bahari Nyeusi]], na kudumu kwa karibu [[milenia]] moja, hadi [[Ukristo]] ulipoanza.


Unadhaniwa na wanahistoria wengi kuwa ni [[utamaduni]] anzilishi wa [[ustaarabu]] wa [[Magharibi]]. Utamaduni wa Kigiriki ulikuwa na nguvu kubwa ya ushawishi katika [[Dola la Roma]], ambalo lilibeba sehemu ya utamaduni huo katika sehemu nyingi za [[Ulaya]].
Unadhaniwa na wanahistoria wengi kuwa ni [[utamaduni]] anzilishi wa [[ustaarabu]] wa [[Magharibi]] lakini iliathiri pia elimu ya [[Uislamu|Waislamu]]. Wanafalsafa na wataalamu wake wa fani mbalimbali waliweka misingi muhimu ya maendelea ya sayansi katika karne zilizofuata.


Hata baada ya Ugiriki kuingizwa katika [[Dola la Roma]], utamaduni wa Kigiriki ulikuwa na nguvu kubwa ya ushawishi.
Ustaarabu wa Ugiriki ya kale umeathiri pia [[lugha]], [[siasa]], mifumo ya [[elimu]], [[falsafa]], [[sayansi]], [[sanaa]], [[ufundi]] sanifu wa dunia ya kisasa, na kuchochea [[Mwamko Mpya]] katika Ulaya Magharibi; na kuchipuka tena katika vipindi mbalimbali vya uamsho wa tamaduni za kisasa za Kigiriki, ndani ya [[karne ya 18]] na [[karne ya 19|ya 19]] katika Ulaya na [[Amerika]].

Maendeleo ya elimu katika himaya ya Uislamu yalitegemea kwa kiasi kikubwa kazi ya ufasiri wa vitabu vya Wagiriki kwa lugha ya Kiarabu.

Ustaarabu wa Ugiriki ya kale umeathiri pia [[lugha]], [[siasa]], mifumo ya [[elimu]], [[falsafa]], [[sayansi]], [[sanaa]], [[ufundi]] sanifu wa Dunia ya kisasa, na kuchochea [[Mwamko Mpya]] katika Ulaya Magharibi; na kuchipuka tena katika vipindi mbalimbali vya uamsho wa tamaduni za kisasa za Kigiriki, ndani ya [[karne ya 18]] na [[karne ya 19|ya 19]] katika Ulaya na [[Amerika]].


[[Jamii:Ugiriki ya Kale| ]]
[[Jamii:Ugiriki ya Kale| ]]

Pitio la 19:16, 13 Mei 2019

Ugiriki ya Kale ni kipindi katika historia ambapo Ugiriki ulipanuka katika eneo kubwa la Mediteranea na Bahari Nyeusi, na kudumu kwa karibu milenia moja, hadi Ukristo ulipoanza.

Unadhaniwa na wanahistoria wengi kuwa ni utamaduni anzilishi wa ustaarabu wa Magharibi lakini iliathiri pia elimu ya Waislamu. Wanafalsafa na wataalamu wake wa fani mbalimbali waliweka misingi muhimu ya maendelea ya sayansi katika karne zilizofuata.

Hata baada ya Ugiriki kuingizwa katika Dola la Roma, utamaduni wa Kigiriki ulikuwa na nguvu kubwa ya ushawishi.

Maendeleo ya elimu katika himaya ya Uislamu yalitegemea kwa kiasi kikubwa kazi ya ufasiri wa vitabu vya Wagiriki kwa lugha ya Kiarabu.

Ustaarabu wa Ugiriki ya kale umeathiri pia lugha, siasa, mifumo ya elimu, falsafa, sayansi, sanaa, ufundi sanifu wa Dunia ya kisasa, na kuchochea Mwamko Mpya katika Ulaya Magharibi; na kuchipuka tena katika vipindi mbalimbali vya uamsho wa tamaduni za kisasa za Kigiriki, ndani ya karne ya 18 na ya 19 katika Ulaya na Amerika.