Microsoft : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 28: Mstari 28:
Kampuni hili linaendeleza, kutengeneza, kutoa leseni, kusaidia na kuuza programu za kompyuta, vifaa vya umeme,kompyuta binafsi pamoja na huduma zihusianazo na hizo. Programu yake ya kompyuta ijulikanayo sana ni mfumo ongozo wa kompyuta wa Microsoft Windows, na programu nyingine kama vile, Microsoft Office, na Internet Explorer pamoja na Edge Web. Vifaa vyake maarufu ni vifaa michezo vya Xbox pamoaja na mfumo wa kioomguso uitwao [[Microsoft Surface lineup]] kwa ajili ya kompyuta binafsi. Kwa mwaka wa 2016, ndilo kampuni kubwa duniani lenye kutengeneza programu za kompyuta kwa makusanyo ya jumla, na ni moja kati ya makampuni yenye thamani kubwa kuliko duniani. Neno "Microsoft" ni neno unganifu lilitokana na maneno ya kiingereza "microcomputer" and "software". Microsoft ni kampuni lililoko nafasi ya 30 katika orodha ya mwaka 2018 ya Fortune 500 ya mashirika makuu makubwa ya Marekani na mapato ya jumla.

Microsoft ilianzishwa na [[Bill Gates]] na [[Paul Allen]] mnamo April 4, mwaka 1975, ili kuendeleza na kuuza mifumo-ongozo rahisi kwa ajili ya kompyuta ndogo za [[Altair 8800]]. Kampuni hili liliinuka na kutawala soko la utengenezaji wa mifumo-ongozo ya kompyuta binafsi kupitia mfumo wake unaojulikana kama [[Microsoft- Database Operating System]] (MS-DOS) katikati miaka ya in 1980, ikifuatiwa na programu ya [[Microsoft Windows]].
Microsoft ilianzishwa na [[Bill Gates]] na [[Paul Allen]] mnamo April 4, mwaka 1975, ili kuendeleza na kuuza mifumo-ongozo rahisi kwa ajili ya kompyuta ndogo za [[Altair 8800]]. Kampuni hili liliinuka na kutawala soko la utengenezaji wa mifumo-ongozo ya kompyuta binafsi kupitia mfumo wake unaojulikana kama [[Microsoft- Disk Operating System]] (MS-DOS) katikati miaka ya in 1980, ikifuatiwa na programu ya [[Microsoft Windows]].

Pitio la 14:17, 12 Mei 2019

Mti unaotunzwa na Microsoft karibu na ofisi ya Dell, Bangalore, India.
Microsoft
IlipoanzishwaAlbuquerque, New Mexico (Aprili 4, 1975 (1975-04-04))[1]
Makao MakuuRedmond, Washington,Bill Gates United States
Mapato kabla ya riba na kodidecrease US$ 20.363 billion (2009)[2]
Net incomedecrease US$ 14.569 billion (2009)[2]
Total equityincrease US$ 39.558 billion (2009)[2]
TovutiMicrosoft.com

Microsoft Corporation ni kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya kompyuta. [3]

Kampuni ilianzishwa na William Henry Gates III, (anayefahamika zaidi kama Bill Gates) mwaka 1975[4]. Makao makuu yako Redmond, Washington, Marekani.

Kampuni hili linaendeleza, kutengeneza, kutoa leseni, kusaidia na kuuza programu za kompyuta, vifaa vya umeme,kompyuta binafsi pamoja na huduma zihusianazo na hizo. Programu yake ya kompyuta ijulikanayo sana ni mfumo ongozo wa kompyuta wa Microsoft Windows, na programu nyingine kama vile, Microsoft Office, na Internet Explorer pamoja na Edge Web. Vifaa vyake maarufu ni vifaa michezo vya Xbox pamoaja na mfumo wa kioomguso uitwao Microsoft Surface lineup kwa ajili ya kompyuta binafsi. Kwa mwaka wa 2016, ndilo kampuni kubwa duniani lenye kutengeneza programu za kompyuta kwa makusanyo ya jumla, na ni moja kati ya makampuni yenye thamani kubwa kuliko duniani. Neno "Microsoft" ni neno unganifu lilitokana na maneno ya kiingereza "microcomputer" and "software". Microsoft ni kampuni lililoko nafasi ya 30 katika orodha ya mwaka 2018 ya Fortune 500 ya mashirika makuu makubwa ya Marekani na mapato ya jumla.

Microsoft ilianzishwa na Bill Gates na Paul Allen mnamo April 4, mwaka 1975, ili kuendeleza na kuuza mifumo-ongozo rahisi kwa ajili ya kompyuta ndogo za Altair 8800. Kampuni hili liliinuka na kutawala soko la utengenezaji wa mifumo-ongozo ya kompyuta binafsi kupitia mfumo wake unaojulikana kama Microsoft- Disk Operating System (MS-DOS) katikati miaka ya in 1980, ikifuatiwa na programu ya Microsoft Windows.

Tanbihi

  1. "Bill Gates: A timeline", news.bbc.co.uk, BBC News, 2006-06-15. Retrieved on 2008-08-18. 
  2. 2.0 2.1 2.2 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named 2009financials
  3. Microsoft Corporation Annual Report 2005 (doc). Microsoft. Iliwekwa mnamo 1 Oktoba, 2005.
  4. Information for Students: Key Events In Microsoft History (doc). Microsoft Visitor Center Student Information. Iliwekwa mnamo 1 Oktoba 2005.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Microsoft kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.