Wanyiha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Wanyiha''' ni [[kabila]] la [[watu]] wa [[ [[Tanzania]] ([[Wilaya ya Mbozi]], [[mkoa wa Songwe]]). Katika wilaya ya Mbozi Wanyiha wengi hupatikana magharibi, hasa vijiji vya Itaka, Nambizo, Mbozi mission, Shiwinga, Igamba na maeneo mengine ya huko. Pia upande wa mashariki utawakuta katika vijiji vya Nyimbili, Idiwili n.k.
'''Wanyiha''' ni [[kabila]] la [[watu]] wa [[ [[Tanzania]] ([[Wilaya ya Mbozi]], [[mkoa wa Songwe]]). Katika wilaya ya Mbozi Wanyiha wengi hupatikana [[magharibi]], hasa [[vijiji]] vya [[Itaka]], [[Nambizo]], Mbozi mission, [[Shiwinga]], [[Igamba]] na maeneo mengine ya huko. Pia upande wa [[mashariki]] utawakuta katika vijiji vya [[Nyimbili]], [[Idiwili]] n.k.


Tena wako [[Zambia]], [[Malawi]] na sehemu nyingine. Kwa jumla ni zaidi ya 600,000.
Tena wako [[Zambia]], [[Malawi]] na sehemu nyingine. Kwa jumla ni zaidi ya 600,000.
Mstari 7: Mstari 7:
[[Lugha]] yao ni [[Kinyiha]]. Kabila hili katika utamkaji wa maneno hufanana sana na [[Wasafwa]] na [[Wamalila]].
[[Lugha]] yao ni [[Kinyiha]]. Kabila hili katika utamkaji wa maneno hufanana sana na [[Wasafwa]] na [[Wamalila]].


Wanyiha ni wapole na wasikivu. Baadhi ya koo za Kinyiha ni Mwashiozya, Mwashiuyà, Mwembe, Nzunda, n.k. [[Chifu]] wa Wanyiha ni [mwene
Wanyiha ni wapole na wasikivu. Baadhi ya koo za Kinyiha ni Mwashiozya, Mwashiuyà, Mwembe, Nzunda, n.k. [[Chifu]] wa Wanyiha ni [[Mwene]].

Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo [[Wasafwa]], [[Wandali]], [[Wanyakyusa]], [[Wabungu]] na [[Wanyamwanga]].
Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo [[Wasafwa]], [[Wandali]], [[Wanyakyusa]], [[Wabungu]] na [[Wanyamwanga]].


Wanyiha walio wengi ni [[wakulima]]: [[zao]] kuu la [[chakula]] ni [[mahindi]] wakati zao kubwa la [[biashara]] ni [[kahawa]].wanyiha wanaposaliana husema Mwakataa....afu MTU Wa PILI hujibu Ena.....
Wanyiha walio wengi ni [[wakulima]]: [[zao]] kuu la [[chakula]] ni [[mahindi]] wakati zao kubwa la [[biashara]] ni [[kahawa]].
wanyiha wanaposalimiana husema: Mwakataa... Halafu mtu wa pili hujibu: Ena...


==Marejeo==
==Marejeo==

Pitio la 12:45, 9 Mei 2019

Wanyiha ni kabila la watu wa [[ Tanzania (Wilaya ya Mbozi, mkoa wa Songwe). Katika wilaya ya Mbozi Wanyiha wengi hupatikana magharibi, hasa vijiji vya Itaka, Nambizo, Mbozi mission, Shiwinga, Igamba na maeneo mengine ya huko. Pia upande wa mashariki utawakuta katika vijiji vya Nyimbili, Idiwili n.k.

Tena wako Zambia, Malawi na sehemu nyingine. Kwa jumla ni zaidi ya 600,000.

Inasadikiwa Wanyiha ni moja ya makabila ya Kibantu yenye asili ya Afrika Kusini.

Lugha yao ni Kinyiha. Kabila hili katika utamkaji wa maneno hufanana sana na Wasafwa na Wamalila.

Wanyiha ni wapole na wasikivu. Baadhi ya koo za Kinyiha ni Mwashiozya, Mwashiuyà, Mwembe, Nzunda, n.k. Chifu wa Wanyiha ni Mwene.

Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo Wasafwa, Wandali, Wanyakyusa, Wabungu na Wanyamwanga.

Wanyiha walio wengi ni wakulima: zao kuu la chakula ni mahindi wakati zao kubwa la biashara ni kahawa.

wanyiha wanaposalimiana husema: Mwakataa... Halafu mtu wa pili hujibu: Ena...

Marejeo

  • Arnold, Bernd; Steuer und Lohnarbeit im Südwesten von Deutsch Ostafrika
  • Bauer, Andreus; Emperial Rugaruga ("Raise the Flag of War")
  • Becker, Perbandt, Richelmann & Schmidt, Steuber. Hermann von Wissmann, Deutschlands Grösster Africaner
  • Brock, Beverly; The Nyiha of Mbozi
  • Willis, Roy G.; The Fipa and Related Peoples
  • Weule, Karl; Deutsches Kolonial Lexicon, Band IIIs. 673
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyiha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.