Kasoko ya dharuba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3: Mstari 3:
'''Kasoko ya dharuba''' (kwa [[Kiingereza]] ''impact crater'') ni uwazi kwenye [[ardhi]] unaotokana na mshtuko wa kugongwa na [[gimba]]. [[Kasoko]] ina [[umbo]] la [[duara]]; katikati ni kama [[shimo]] na ukingo wake unainuka juu ya uwiano wa [[mazingira]] yake. [[Duniani]] kasoko zinapatikana mara nyingi kutokana na [[Mlipuko wa volkeno|milipuko]] ya [[volkeno]] au milipuko mingine.

Katika [[magimba ya angani]] yenye uso thabiti kuna kasoko nyingi kama matokeo ya kugongwa na magimba kutoka [[anga la nje]]. Kwa mfano, kwenye [[Mwezi (gimba la angani)|Mwezi]] wa [[Dunia]] kuna kasoko nyingi zilizosababishwa na migongano ya [[asteroidi]] au [[kimondo|vimondo]]. Pigo la [[kitu]] kigumu linarusha [[mata]] iliyopo mahali pa mgongano ikae pembeni kwa shimo hilo kwa umbo la ukingo wa [[mviringo]].
Katika [[magimba ya angani]] yenye uso thabiti kuna kasoko nyingi kama matokeo ya kugongwa na magimba kutoka [[anga la nje|anga-nje]]. Kwa mfano, kwenye [[Mwezi (gimba la angani)|Mwezi]] wa [[Dunia]] kuna kasoko nyingi zilizosababishwa na migongano ya [[asteroidi]] au [[kimondo|vimondo]]. Pigo la [[kitu]] kigumu linarusha [[mata]] iliyopo mahali pa mgongano ikae pembeni kwa shimo hilo kwa umbo la ukingo wa [[mviringo]].

Duniani kasoko nyingi kutokana na mishtuko ya aina hiyo zinasawazishwa baada ya muda fulani kutokana na [[mmomonyoko]] unaosababishwa na [[mvua]] na [[upepo]]; kwenye magimba pasipo [[angahewa]] kama Mwezini zinabaki kwa miaka [[milioni]] kadhaa.

Pitio la 09:41, 4 Mei 2019

Kutokea kwa kasoko ya dharuba
Kutokea kwa kasoko kutokana na dharuba (filamu ya maabara ya NASA)

Kasoko ya dharuba (kwa Kiingereza impact crater) ni uwazi kwenye ardhi unaotokana na mshtuko wa kugongwa na gimba. Kasoko ina umbo la duara; katikati ni kama shimo na ukingo wake unainuka juu ya uwiano wa mazingira yake. Duniani kasoko zinapatikana mara nyingi kutokana na milipuko ya volkeno au milipuko mingine.

Katika magimba ya angani yenye uso thabiti kuna kasoko nyingi kama matokeo ya kugongwa na magimba kutoka anga-nje. Kwa mfano, kwenye Mwezi wa Dunia kuna kasoko nyingi zilizosababishwa na migongano ya asteroidi au vimondo. Pigo la kitu kigumu linarusha mata iliyopo mahali pa mgongano ikae pembeni kwa shimo hilo kwa umbo la ukingo wa mviringo.

Duniani kasoko nyingi kutokana na mishtuko ya aina hiyo zinasawazishwa baada ya muda fulani kutokana na mmomonyoko unaosababishwa na mvua na upepo; kwenye magimba pasipo angahewa kama Mwezini zinabaki kwa miaka milioni kadhaa.

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kasoko ya dharuba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.