Mwanaanga : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10: Mstari 10:
Wanaanga wa kwanza waliofika kwenye uso wa mwezi walikuwa Wamarekani [[Neil Armstrong]] na [[Buzz Aldrin]] tar. [[20 Julai]] [[1969]].
Wanaanga wa kwanza waliofika kwenye uso wa mwezi walikuwa Wamarekani [[Neil Armstrong]] na [[Buzz Aldrin]] tar. [[20 Julai]] [[1969]].


Hadi machi 2008 jumla ya watu 477 kutoka nchi 39 walifika kwenye kimo cha kilomita 100 juu ya uso wa dunia ambacho ni kimo ambako anga la nje linaanza kulingana na maelezo ya [[Shirikisho la Kimataifa kwa Usafiri wa Angani]] (Fédération Aéronautique Internationale (FAI)).
Hadi machi 2008 jumla ya watu 477 kutoka nchi 39 walifika kwenye kimo cha kilomita 100 juu ya uso wa dunia ambacho ni kimo ambako anga-nje linaanza kulingana na maelezo ya [[Shirikisho la Kimataifa kwa Usafiri wa Angani]] (Fédération Aéronautique Internationale (FAI)).


Kati ya hawa ni 24 waliofika mbali zaidi kuliko kilomita 2,000 juu ya uso wa dunia hadi njia ya mwezi kwenye anga.
Kati ya hawa ni 24 waliofika mbali zaidi kuliko kilomita 2,000 juu ya uso wa dunia hadi njia ya mwezi kwenye anga.


Mwanaanga aliyekaa muda mrefu angani alkuwa Mrusi [[Sergei Krikalyov]] aliyefika angani mara sita akakaa jumla ya siku 803, masaa 9 na dakika 39 kwenye anga la nje.
Mwanaanga aliyekaa muda mrefu angani alkuwa Mrusi [[Sergei Krikalyov]] aliyefika angani mara sita akakaa jumla ya siku 803, masaa 9 na dakika 39 kwenye anga-nje.


== Picha za wanaanga ==
== Picha za wanaanga ==

Pitio la 09:25, 4 Mei 2019

Mwanaanga Piers Sellers nje ya chombo cha space shuttle tar. 12 Juni 2006

Mwanaanga ni mtu anayerushwa katika anga ya nje lililo nje ya angahewa ya dunia. Majina mengine yaliyokuwa kawaida ni "kosmonavti" (Kirusi космонавт) kwa wanaanga Warusi na "astronauti" (Kiing. astronaut) wa wanaanga kutoka Marekani. Wachina wametumia neno "taikonauti".

Mwanaanga wa kwanza katika historia ya binadamu alikuwa Mrusi Yuri Gagarin kutoka Umoja wa Kisovyeti aliyerushwa tarehe 12 Aprili 1961 kwa chombo cha angani Vostok akizunguka dunia lote mara moja katika muda wa dakika 108.

Alifuatwa 5 Mei 1961 na Alan Shepard kutoka Marekani aliyetumia chombo cha angani cha Mercury .

Mwanamke wa kwanza angani alikuwa Mrusi Valentina Tereshkova mwaka 1963.

Wanaanga wa kwanza waliofika kwenye uso wa mwezi walikuwa Wamarekani Neil Armstrong na Buzz Aldrin tar. 20 Julai 1969.

Hadi machi 2008 jumla ya watu 477 kutoka nchi 39 walifika kwenye kimo cha kilomita 100 juu ya uso wa dunia ambacho ni kimo ambako anga-nje linaanza kulingana na maelezo ya Shirikisho la Kimataifa kwa Usafiri wa Angani (Fédération Aéronautique Internationale (FAI)).

Kati ya hawa ni 24 waliofika mbali zaidi kuliko kilomita 2,000 juu ya uso wa dunia hadi njia ya mwezi kwenye anga.

Mwanaanga aliyekaa muda mrefu angani alkuwa Mrusi Sergei Krikalyov aliyefika angani mara sita akakaa jumla ya siku 803, masaa 9 na dakika 39 kwenye anga-nje.

Picha za wanaanga

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwanaanga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Mradi wa Astronomia Makala hii imewahi kukaguliwa na kuboreshwa kwenye warsha ya pamoja ya Jenga Wikipedia ya Kiswahili, Wikimedia Community User Group Tanzania na ASSAT. Imepewa hali ya ulinzi. Tunaomba mapendekezo yote ya usahihisho na nyongeza zipelekwe kwanza kwenye ukurasa wa majadiliano