Tofauti kati ya marekesbisho "Anga-nje"

Jump to navigation Jump to search
11 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
Kuna majaribio mbalimbali kutaja mpaka wa Anga-nje kwa mtazamo kutoka [[dunia]] yetu. Wengine wanaona inaanza katika kanda la [[tabakanje]] ya [[angahewa]]. Shirika la [[Federation Aeronautique Internationale]] linataja [[kimo]] cha [[kilomita]] 100 na [[NASA]] inataja kimo cha [[kilomita]] 80 ambazo ni takriban sawa na mpaka baina [[tabakakati]] na [[tabakajoto]].
 
Kwa upande mwingine mipaka ya nje ya anga haijulikani. Nadharia mbalimbali zinadai ama anga za nje halina mwisho, au kuwa anga za nje inaendelea kupanuka ilhali imefikia umbali wa takriban [[miaka ya nuru|miaka nuru]] [[bilioni]] 13 -14.
 
Kufuatana na nadharia ya [[mlipuko mkuu]] anga lilianza kama nukta likaendelea kupanuka hadi leo na kwa wakati ujao. Kufuatana na nadharia hii umbali kati dunia yetu na nyota inaendelea kuongezeka.
315

edits

Urambazaji