Tofauti kati ya marekesbisho "Mambo Huangamia"

Jump to navigation Jump to search
564 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
d (wikidata interwiki)
'''Mambo Huangamia''' (kwa [[Kiingereza]] "Things Fall Apart") ni [[riwaya]] iliyoandikwa na [[Chinua Achebe]]. Ilitolewa mwaka wa [[1958]]. Hadithi ya riwaya hii imefuatiwa na ''[[Hakuna Starehe Tena]]'' (1960) na ''[[Mshale wa Mungu]]'' (1964).
 
Kitabu hicho alichokiandika mwishoni mwa [[miaka ya 1950]] kilitolewa mwaka wa [[1958]] na kumpatia jina kubwa duniani. Hicho, kinaaminika ndicho kitabu chake bora zaidi, ni kitabu kilichosomwa kwa wingi zaidi katika vitabu vya [[tamthiliya ya Kiafrika]].<ref>Franklin, Ruth. [http://www.newyorker.com/arts/critics/books/2008/05/26/080526crbo_books_franklin?currentPage=all "After Empire: Chinua Achebe and the Great African Novel"]. ''[[The New Yorker]]'', 26 May 2008. Retrieved 7 December 2010.</ref>
 
Hadithi ya riwaya hii imefuatiwa na ''[[Hakuna Starehe Tena]]'' (1960) na ''[[Mshale wa Mungu]]'' (1964).
 
== Mkondo wa hadithi ==
[[Mhusika]] mkuu anaitwa [[Okonkwo]], [[tajiri]] katika [[kijiji]] cha [[Umuofia]]. Huyo Okonkwo hufuata vizuri sana [[mila]] na [[desturi]] za [[Waigbo]] ili kumshinda [[baba]] yake ambaye ni duni.
Mhusika mkuu anaitwa [[Okonkwo]], tajiri katika kijiji cha [[Umuofia]]. Huyo Okonkwo hufuata mila na desturi za Kiigbo vizuri sana ili kumshinda babake ambaye ni mduni. Katika kufuata hizo mila alifika hatua ya kumuua mwana wake wa kambo na wanakijiji wakakubali. Siku moja lakini Okonkwo kwa bahati mbaya alimuua mwanakijiji mwingine na sasa akahukumiwa kuondoka kijijini kwake kwa miaka saba zinavyoamuru mila za kijiji. Huko uhamishoni Okonkwo alikutana na [[wamisionari]] Wazungu, akasikitika sana kugundua mwana wake mwenyewe aliacha mila za Kiigbo na kukubali dini ya [[Ukristo]]. Okonkwo akirudi kijijini baadaye akakuta hata maisha ya kijijini yameathiriwa na hiyo dini mpya. Akaanza kuupigia vita Ukristo, hatimaye lakini aliona kuwa haiwezekani kurudi kwa maisha ya kimila akajiua kwa kujinyonga.
 
Katika kufuata hizo mila alifika hatua ya kumuua [[mwana]] wake wa kambo na wanakijiji wakakubali. Siku moja, lakini, Okonkwo kwa bahati mbaya alimuua mwanakijiji mwingine akahukumiwa kuondoka kijijini kwake kwa miaka [[Saba (namba)|saba]] zinavyoamuru mila za kijiji.
 
Huko uhamishoni Okonkwo alikutana na [[wamisionari]] [[Wazungu]], akasikitika sana kugundua mwana wake mwenyewe aliacha mila za Kiigbo na kukubali [[dini]] ya [[Ukristo]].
 
Okonkwo akirudi kijijini baadaye akakuta hata [[maisha]] ya kijijini yameathiriwa na hiyo dini mpya. Akaanza kuupiga [[vita]] Ukristo, hatimaye lakini aliona kuwa haiwezekani kurudi kwa maisha ya kimila [[Kujiua|akajiua]] kwa kujinyonga.
 
== Marejeo ==

Urambazaji