Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 18: Mstari 18:

=Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 za msingi=
=Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 za msingi=
''<small>(hali ya Februari 2019) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa Wikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)</small>''<br>
''<small>(hali ya Aprili 2019) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa Wikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)</small>''<br>

'''OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!'''

Mstari 34: Mstari 34:
#[http://en.wikipedia.org/wiki/linear_algebra linear algebra] - sw: [[aljebra mstari]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/linear_algebra linear algebra] - sw: [[aljebra mstari]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/mathematical_analysis mathematical analysis] - sw: [[uchambuzi wa kihisabati]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/mathematical_analysis mathematical analysis] - sw: [[uchambuzi wa kihisabati]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/mathematical_proof mathematical proof] - sw: [[Thibitisho ya kihisabati]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/mathematical_proof mathematical proof] - sw: [[thibitisho la kihisabati]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/number_theory number theory] - sw: [[nadharia ya namba]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/number_theory number theory] - sw: [[nadharia ya namba]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/numerical_analysis numerical analysis] - sw: [[uchambuzi namba]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/numerical_analysis numerical analysis] - sw: [[uchambuzi namba]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/operating_system operating system] - sw: [[operating system]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/operating_system operating system] - sw: [[operating system]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/physical_chemistry physical chemistry] - sw: [[kemia ya fizikia]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/physical_chemistry physical chemistry] - sw: [[kemia ya fizikia]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/programming_language programming language] - sw: [[programming language]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/programming_language programming language] - sw: [[lugha ya programu]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/quantum_mechanics quantum mechanics] - sw: [[umakanika kwanta]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/quantum_mechanics quantum mechanics] - sw: [[umakanika kwanta]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/semiconductor semiconductor] - sw: [[nusukipitishi]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/set_theory set theory] - sw: [[nadharia seti]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/set_theory set theory] - sw: [[nadharia seti]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/special_relativity special relativity] - sw: [[uhusianifu maalum]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/strong_interaction strong interaction] - sw: [[mtagusano madhubuti]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/strong_interaction strong interaction] - sw: [[mtagusano madhubuti]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/weak_interaction weak interaction] - sw: [[mtagusano mdhaifu]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/weak_interaction weak interaction] - sw: [[mtagusano dhaifu]]

Pitio la 10:55, 26 Aprili 2019

Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo: ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.

Kwenye kurasa za meta.wikipedia.org kuna majadiliano mfululizo kuhusu makala za kimsingi ni zipi. Tokeo la majadiliano ni orodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipedia inayoendelea kuhaririwa.

Hapo chini ni mada katika Wikipedia ya Kiingereza (ambayo ni Wikipedia kubwa zaidi na hivyo ni ya msingi kwa kazi hii) ambazo hazikuonekana katika wikipedia ya Kiswahili kwa "macho" za roboti zinazolinganisha Wikipedia za lugha mbalimbali. Chanzo chake ni Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili.

Kila mwanawikipedia anaombwa

    • kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina jekundu upande wa kulia kutaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni jina la Kiingereza bado, ulitafsiri kabla ya kuanza.
    • Kuboresha michango katika orodha ya "makala 1000" kwa kuiongeza matini maana nyingine bado ni fupi sana

Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha Wikipedia mbalimbali zinaweza kukosea. Kwa mfano hazikutambua makala ya "Brussels" katika Wikipedia yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala ipo. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya Wikipedia ya Kiswahili.

Kwa orodha kamili ya makala zote 1000 tazama hapa: Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000.

Baada ya kumaliza kuna pia orodha iliyopanuliwa ya makala 10,000 Meta:List of articles every Wikipedia should have/Expanded

Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 za msingi

(hali ya Aprili 2019) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa Wikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)

OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!

  1. animation - sw: animation
  2. capacitor - sw: kapasita
  3. classical mechanics - sw: umakanika kawaida
  4. conservation of energy - sw: kanuni ya hifadhi ya nishati
  5. differential equation - sw: mlinganyo tenguo
  6. electronic music - sw: muziki elektroniki
  7. (mathematics) function - sw: namba tegemezi
  8. general relativity - sw: uhusianifu majumui
  9. inductor - sw: kidukizi
  10. infinity - sw: msopeo? - bila kikomo ?
  11. linear algebra - sw: aljebra mstari
  12. mathematical analysis - sw: uchambuzi wa kihisabati
  13. mathematical proof - sw: thibitisho la kihisabati
  14. number theory - sw: nadharia ya namba
  15. numerical analysis - sw: uchambuzi namba
  16. operating system - sw: operating system
  17. physical chemistry - sw: kemia ya fizikia
  18. programming language - sw: lugha ya programu
  19. quantum mechanics - sw: umakanika kwanta
  20. set theory - sw: nadharia seti
  21. strong interaction - sw: mtagusano madhubuti
  22. weak interaction - sw: mtagusano dhaifu