Ugiriki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 54: Mstari 54:
|footnotes = <sup>1<sup> Wananchi walikataza kurudi kwa ufalme tar. 8 Desemba 1974.<br /><sup>2</sup> Prior to 2001: [[Drachma|Greek Drachma]].<br />
|footnotes = <sup>1<sup> Wananchi walikataza kurudi kwa ufalme tar. 8 Desemba 1974.<br /><sup>2</sup> Prior to 2001: [[Drachma|Greek Drachma]].<br />
}}
}}
'''Ugiriki''' (pia: '''Uyunani'''; kwa [[Kigiriki]]: Ελλάδα, Ellada, au Ελλάς, Ellas) ni nchi ya [[Ulaya]] Kusini-Mashariki katika kusini ya [[rasi]] ya [[Balkani]].
'''Ugiriki''' (pia: '''Uyunani'''; kwa [[Kigiriki]]: Ελλάδα, Ellada, au Ελλάς, Ellas) ni nchi ya [[Ulaya]] [[Kusini]]-[[Mashariki]] katika kusini ya [[rasi]] ya [[Balkani]].


Imepakana na [[Albania]], [[Jamhuri ya Masedonia]], [[Bulgaria]] na [[Uturuki]].
Imepakana na [[Albania]], [[Masedonia Kaskazini]], [[Bulgaria]] na [[Uturuki]].


Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna [[pwani]] ndefu kwenye [[Bahari ya Mediteranea]].
Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna [[pwani]] ndefu kwenye [[Bahari ya Mediteranea]].

Pitio la 14:39, 22 Aprili 2019

Ugiriki

Ugiriki (pia: Uyunani; kwa Kigiriki: Ελλάδα, Ellada, au Ελλάς, Ellas) ni nchi ya Ulaya Kusini-Mashariki katika kusini ya rasi ya Balkani.

Imepakana na Albania, Masedonia Kaskazini, Bulgaria na Uturuki.

Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna pwani ndefu kwenye Bahari ya Mediteranea.

Baharini huko kuna visiwa vingi sana ambavyo ni sehemu za Ugiriki.

Ugiriki ni nchi yenye historia ndefu na maarufu sana, hata inaitwa "nchi mama ya Ulaya".

Lugha ya Kigiriki inaendelea kuandikwa kwa Alfabeti ya Kigiriki inaotumiwa tangu miaka 3000 iliyopita, lakini lugha yenyewe imebadilika. Wagiriki wa leo hawaelewi tena Kigiriki cha Kale moja kwa moja.

Wakazi wengi wanafuata dini ya Ukristo, hasa katika Kanisa la Kiorthodoksi la Kigiriki (97%). 1.3% ni Waislamu.

Ugiriki ni nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu 1981.

Tazama pia

Viungo vya nje


Nchi za Umoja wa Ulaya Bendera ya Umoja wa Ulaya
Austria | Bulgaria | Eire | Estonia | Hispania | Hungaria | Italia | Kroatia | Kupro | Latvia | Lituanya | Luxemburg | Malta | Polandi | Slovakia | Slovenia | Romania | Ubelgiji | Ucheki | Udeni | Ufaransa | Ufini | Ugiriki | Uholanzi | Ujerumani | Ureno | Uswidi
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ugiriki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.