Joseph Butiku : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 26: | Mstari 26: | ||
|mengine= |
|mengine= |
||
| }} |
| }} |
||
'''Joseph Waryoba Butiku''' (alizaliwa tar.) ni [[mkurugenzi mtendaji]] na [[rais]] wa [[Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere]] (inayojulikana pia kama ''Mwalimu Nyerere Foundation'') na ni msaidizi wa utafiti binafsi na mjumbe binafsi [[Tanzania]]. |
'''Joseph Waryoba Butiku''' (alizaliwa tar.) ni [[mkurugenzi mtendaji]] na [[rais]] wa [[Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere]] (inayojulikana pia kama ''Mwalimu Nyerere Foundation'') na ni msaidizi wa [[utafiti]] binafsi na mjumbe binafsi [[Tanzania]]. <ref>https://www.juliusnyerere.org/uploads/nyerere_lifetime_legacy_joseph_butiku.pdf</ref> |
||
==Maisha== |
==Maisha== |
||
Mstari 33: | Mstari 33: | ||
Vilevile aliweza kuwa [[katibu mkuu]] wa faragha na Mkuu wa Wafanyakazi chini ya Rais [[Alli Hassan Mwinyi]]. |
Vilevile aliweza kuwa [[katibu mkuu]] wa faragha na Mkuu wa Wafanyakazi chini ya Rais [[Alli Hassan Mwinyi]]. |
||
Alikuwa Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi [[CCM]] kanda ya [[mkoa wa Mara]] na baadaye alikuwa Kamishna wa kikanda. <ref>https://www.juliusnyerere.org/uploads/nyerere_lifetime_legacy_joseph_butiku.pdf</ref> |
Alikuwa [[Katibu mkuu]] wa Chama cha Mapinduzi [[CCM]] kanda ya [[mkoa wa Mara]] na baadaye alikuwa Kamishna wa kikanda. <ref>https://www.juliusnyerere.org/uploads/nyerere_lifetime_legacy_joseph_butiku.pdf</ref> |
||
⚫ | |||
{{reflist}} |
{{reflist}} |
||
{{mbegu-siasa}} |
{{mbegu-siasa}} |
||
⚫ | |||
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]] |
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]] |
||
[[Jamii:Watu walio hai]] |
[[Jamii:Watu walio hai]] |
Pitio la 07:36, 15 Aprili 2019
Chama | CCM |
Joseph Waryoba Butiku (alizaliwa tar.) ni mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (inayojulikana pia kama Mwalimu Nyerere Foundation) na ni msaidizi wa utafiti binafsi na mjumbe binafsi Tanzania. [1]
Maisha
Joseph Butiku alihudhuria mafunzo ya kijeshi Monduli na alimaliza kama Luteni na hatimaye aliweza kufikia cheo kikubwa cha Meja.
Vilevile aliweza kuwa katibu mkuu wa faragha na Mkuu wa Wafanyakazi chini ya Rais Alli Hassan Mwinyi.
Alikuwa Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM kanda ya mkoa wa Mara na baadaye alikuwa Kamishna wa kikanda. [2]
Marejeo
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |