Tofauti kati ya marekesbisho "Globu ya nyota"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
d (Protected "Globu ya nyota" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho)))
 
[[Picha:A Large Persian Brass Celestial Globe with an ascription to Hadi Isfahani.jpg|thumb|Globu ya nyota ya Kiajemi ya karne ya 18, inaonyeshainaonesha picha ya [[Hawaa (kundinyota)|Hawaa]] (''[[:en:Ophiuchus (constellation)|Ophiuchus]]'')]]
[[Picha:Atlas (Farnese Globe).jpg|300px|thumb|Atlasi akibeba globu ya nyota (Globu ya Farnese) ikionyeshaikioneesha kundinyota za [[Kantarusi (kundinyota)|Kantarusi]] (''[[:en:Centaurus (constellation)|Centaurus]]'') na [[Shuja (kundinyota)|Shuja]] (''[[:en:Hydra (constellation)|Hydra]]'') ]]
'''Globu ya nyota''' ([[ing.]] ''celestial globe'') ni [[tufe]] inayoonyesha michoro ya [[nyota]] na [[kundinyota]] usoni wake. Kwa hiyo ni kama [[ramani ya nyota]] iliyochorwa juu ya tufe au globu.
 
Ramani za aina hii zilitengenezwa tangu zamani na mfano wa kale iliyohifadhiwa ni globu ya Farnese ya karne ya 2 BK inayomwonyeshainayomuonesha shujaa [[Atlasi (visasili)|Atlasi]] anayebeba globu ya nyota kama ishara ya ulimwengu wote mabegani. Globu za aina hii zilikuwa kifaa muhimu cha mafundisho ya astronomia katika karne zilizopita.
 
Mtazamaji kwa kawaida anahitaji kuwaza ya kwamba yuko ndani ya tufe.
315

edits

Urambazaji