Globu ya nyota : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
No edit summary
d Protected "Globu ya nyota" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
(Hakuna tofauti)

Pitio la 06:56, 30 Machi 2019

Globu ya nyota ya Kiajemi ya karne ya 18, inaonyesha picha ya Hawaa (Ophiuchus)
Atlasi akibeba globu ya nyota (Globu ya Farnese) ikionyesha kundinyota za Kantarusi (Centaurus) na Shuja (Hydra)

Globu ya nyota (ing. celestial globe) ni tufe inayoonyesha michoro ya nyota na kundinyota usoni wake. Kwa hiyo ni kama ramani ya nyota iliyochorwa juu ya tufe au globu.

Ramani za aina hii zilitengenezwa tangu zamani na mfano wa kale iliyohifadhiwa ni globu ya Farnese ya karne ya 2 BK inayomwonyesha shujaa Atlasi anayebeba globu ya nyota kama ishara ya ulimwengu wote mabegani. Globu za aina hii zilikuwa kifaa muhimu cha mafundisho ya astronomia katika karne zilizopita.

Mtazamaji kwa kawaida anahitaji kuwaza ya kwamba yuko ndani ya tufe.

Viungo vya Nje