Kikurdi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d kuondoa kiungo cha ramani using AWB
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kikurdi''' ni kundi la [[lahaja]] za [[Kiajemi]] zinazotumika na [[Wakurdi]] wengi (milioni 20-30 hivi) huko [[Mashariki ya Kati]].
'''Kikurdi''' (kwa [[lugha]] hiyo: کوردی, Kurdî, tamka: [ˈkuɾdiː]) ni [[kundi]] la [[lahaja]] za [[Kiajemi]] zinazotumika na [[Wakurdi]] wengi (milioni 20-30 hivi) huko [[Mashariki ya Kati]].


Ni [[lugha rasmi]] mojawapo katika nchi ya [[Iraq]].
Ni [[lugha rasmi]] mojawapo katika nchi ya [[Iraq]], lakini katika nchi nyingine, hasa [[Syria]], hairuhusiwi au inazuiwa katika matumizi kadhaa.


==External links==
==Viungo vya nje==
{{Commons category|Kurdish language}}
{{Commons category|Kurdish language}}
{{InterWiki|code=ku}}
{{InterWiki|code=ku}}

Pitio la 11:40, 26 Machi 2019

Kikurdi (kwa lugha hiyo: کوردی, Kurdî, tamka: [ˈkuɾdiː]) ni kundi la lahaja za Kiajemi zinazotumika na Wakurdi wengi (milioni 20-30 hivi) huko Mashariki ya Kati.

Ni lugha rasmi mojawapo katika nchi ya Iraq, lakini katika nchi nyingine, hasa Syria, hairuhusiwi au inazuiwa katika matumizi kadhaa.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikipedia
Wikipedia
Kikurdi ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikipedia
Wikipedia
Soranî Kurdish ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru

Kurdish travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikurdi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.