Skype : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Skype logo (fully transparent).svg|alt=Nembo ya Skype|right|frameless|267x267px|Nembo ya Skype]]
[[Picha:Skype logo (fully transparent).svg|alt=Nembo ya Skype|right|thumb|267x267px|Nembo ya Skype]]
'''Skype (/ skaɪp /)''' ni [[programu]] ambayo inayotumia [[intaneti]] kupiga [[simu]] (kwa [[teknolojia]] inayoitwa ''Voice over Internet Protocol (VoIP)''.
'''Skype (/ skaɪp /)''' ni [[programu]] ambayo inayotumia [[intaneti]] kupiga [[simu]] (kwa [[teknolojia]] inayoitwa ''Voice over Internet Protocol (VoIP)''.



Pitio la 12:58, 22 Machi 2019

Nembo ya Skype
Nembo ya Skype

Skype (/ skaɪp /) ni programu ambayo inayotumia intaneti kupiga simu (kwa teknolojia inayoitwa Voice over Internet Protocol (VoIP).

Iliundwa mwaka 2003 na Mswidi na Mdenmark Niklas Zennström na Janus Friis, na kwa sasa inaendeshwa na kampuni ya huko Luxemburg inayoitwa Skype Technologies SARL, ambayo tangu 2011 ni sehemu ya Microsoft.

Kuanzia 2005 hadi 2011, Skype ilikuwa inamilikiwa na eBay.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Skype kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.