Wilaya ya Korogwe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d wikidata interwiki
Mstari 12: Mstari 12:
[[Jamii:Wilaya za Mkoa wa Tanga|K]]
[[Jamii:Wilaya za Mkoa wa Tanga|K]]
[[Jamii:Wilaya ya Korogwe| ]]
[[Jamii:Wilaya ya Korogwe| ]]

[[en:Korogwe]]

Pitio la 17:23, 18 Machi 2019

ramani ya mahali pa wilaya ya Korogwe katika mkoa wa Tanga

Wilaya ya Korogwe ilikuwa moja ya wilaya saba ya Mkoa wa Tanga nchini Tanzania hadi mnamo 2011. Baadaye iligawiwa kwa Wilaya ya Korogwe Vijijini na Wilaya ya Korogwe Mjini. Mwaka 2002 ilikuwa na wakazi 261,004 [1].

Wilya Korogwe ilikuwa na Tarafa nne nazo ni Korogwe, Magoma, Mombo na Bungu. Trafa ya Bungu ndio pekee ambayo makao yake makuu yako katika vilele vya milima ya Usambara mashariki. Tarafa hiyo inakata zifuatazo. Dindira, Vugiri, Bungu kibaoni na Lutindi.

Marejeo na Viungo vya Nje

  1. Matokeo ya sensa 2002
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Korogwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Kata za Wilaya ya Korogwe - Mkoa wa Tanga - Tanzania

Bungu | Chekelei | Dindira | Foroforo | Hale | Kalalani | Kerenge | Kizara | Kwagunda | Kwashemshi | Lewa | Lutindi | Magamba Kwalukonge Magila Gereza | Magoma | Makumba | Makuyuni | Mashewa | Mazinde | Mgwashi | Mkalamo | Mkomazi | Mkumbara | Mlungui | Mnyuzi | Mombo | Mpale | Mswaha | Vugiri