Mwanamitindo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d wikidata interwiki
Mstari 16: Mstari 16:
[[Jamii:Mavazi]]
[[Jamii:Mavazi]]
[[Jamii:Kazi]]
[[Jamii:Kazi]]

[[fa:مانکن]]

Pitio la 15:03, 18 Machi 2019

Mwanamitindo akitembea kwa mtindo wa en:catwalk. (Gisele Bündchen)
Mwanamitindo akitembea kwa mtindo wa en:catwalk

.

Mwanamitindo ni mtu mwenye kazi ya mkao, au kuonesha kazi za sanaa au maonyesho ya mavazi, kikawaida hutafuta soko kwa ajili ya bidhaa. Mara kwa mara hutumiwa kwenye matangazo ya televisheni na vyombo vya habari vya uchapishaji, kwa mfano magazeti na majarida.

Aina za wanamitindo

Kuna aina chungumzima za wanamitindo. Baadhi yao hutumia sehemu fulani za miili tu. Kwa mfano, mwanamitindo wa mkono ni mtu ambaye hutumia mikono yake tu kufanyia shughuli za kiuanamitindo. Mwanamitindo wa mkono hutumika kuoneshea bidhaa fulani, kwa mfano pete au saa. Wanamitindo wa aina hii kawaida hutumiwa kwa ajili ya matangazo tu, basi.

Wanamitindo wa fasheni hutumiwa kwa kuuza mavazi au vipodozi. Watu wanaotengeneza nguo hutumia wanamitindo wa mavazi kuvaa nguo zao na kuoneshea kwenye maonyesho ya mavazi. Wanamitindo watatembea juu na chini wakionesha mavazi yao sakafuni panapoitwa en:catwalk au runway kuonyesha nguo hizo kwa watu wengine.

Wanamitindo wa sanaa hukodishwa na wapiga picha, wachoraji na wasanii wengine kwa ajili ya mkao ili kutengeneza sanaa zao.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwanamitindo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.