Mtiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Nyongeza picha
d wikidata interwiki
Mstari 152: Mstari 152:


[[Jamii:Bundi na jamaa]]
[[Jamii:Bundi na jamaa]]

[[cs:Výreček malý]]

Pitio la 15:03, 18 Machi 2019

Mtiti
Mtiti wa Afrika
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Strigiformes (Ndege kama bundi)
Familia: Strigidae (Ndege walio na mnasaba na bundi)
Nusufamilia: Striginae (Ndege wanaofanana na bundi)
Jenasi: Gymnoglaux Cabanis, 1855

Megascops Kaup, 1848
Otus Pennant, 1769
Ptilopsis Kaup, 1848 Pyrroglaux Yamashina, 1938

Spishi: Angalia katiba

Mititi au vilio ni ndege mbua wa jenasi mbalimbali katika familia Strigidae. Kwa kawaida ndege hawa ni wadogo kuliko bundi (sm 16-30) na wana rangi ya kahawa au kijivu pamoja na madoadoa ambayo yanafanana na gome la mti. Kwa kawaida jike ni mkubwa kuliko dume. Mititi hula wadudu hasa lakini watambaazi, wanyama na ndege wadogo pia na hata nungunungu na amfibia. Huwinda usiku kwa kawaida. Jike huyataga mayai 2-6 katika shimo lililoachwa na ndege au mnyama mwingine, lakini mara nyingi kinda moja tu akua.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha