Wilaya ya Mpanda : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d wikidata interwiki
Mstari 14: Mstari 14:
[[Jamii:Wilaya za kihistoria za Tanzania]]
[[Jamii:Wilaya za kihistoria za Tanzania]]
[[Jamii:Wilaya ya Mpanda| ]]
[[Jamii:Wilaya ya Mpanda| ]]

[[en:Mpanda District]]

Pitio la 15:02, 18 Machi 2019

Mahali pa Mpanda katika mkoa wa Rukwa kabla ya kuanzishwa mkoa mpya wa Katavi mwaka 2012.

Wilaya ya Mpanda ilikuwa wilaya moja ya Mkoa wa Rukwa, Tanzania hadi mwaka 2012 yenye postikodi namba 50100 [1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 412,683 [1].

Mwaka 2012 wilaya ikahamishwa kwenda mkoa mpya wa Katavi. Mwaka uleule maeneo yake yaligawiwa kati ya wilaya ya Mpanda Vijijini na wilaya ya Mpanda Mjini.


Marejeo

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Katavi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Kata za Wilaya ya Mpanda MjiniMkoa wa Katavi - Tanzania

Ilembo | Kakese | Kashaulili | Kasokola | Kawajense | Kazima | Magamba | Majengo | Makanyagio | Misunkumilo | Mpanda Hotel | Mwamkulu | Nsemulwa | Shanwe | Uwanja wa Ndege