Kuku-mwamba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
dNo edit summary |
d wikidata interwiki |
||
Mstari 31: | Mstari 31: | ||
[[Jamii:Kunguru na jamaa]] |
[[Jamii:Kunguru na jamaa]] |
||
[[br:Picathartidae]] |
|||
[[da:Klippehoppere]] |
|||
[[de:Felshüpfer]] |
|||
[[en:Picathartes]] |
|||
[[es:Picathartes]] |
|||
[[eo:Pikatartedoj]] |
|||
[[fr:Picatharte]] |
|||
[[lv:Klinšuvārnas]] |
|||
[[hu:Picathartes]] |
|||
[[nl:Picathartes]] |
|||
[[ja:ハゲチメドリ科 (Sibley)]] |
|||
[[pl:Sępowronki]] |
|||
[[pt:Picathartidae]] |
|||
[[fi:Kaljukkaat]] |
|||
[[vi:Chim hói đầu]] |
Pitio la 14:58, 18 Machi 2019
Kuku-mwamba | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kuku-mwamba shingo-nyeupe
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Usambazaji wa kuku-mwamba (pinki=P. gymnocephalus; buluu=P. oreas)
|
Kuku-mwamba ni ndege wakubwa kiasi wa jenasi Picathartes, jenasi pekee ya familia Picathartidae. Wanatokea misitu ya Afrika kusini kwa Sahara. Kuku-mwamba wana domo kubwa kama lile la kunguru na kichwa bila manyoya chenye rangi kali (nyeusi na njano au nyekundu). Pia wana rangi ya nyeusi au kijivucheusi juu na nyeupe chini. Shingo yao ni nyeupe au ina rangi ya kijivu. Hula wadudu, kama bungo, mchwa na sisimizi, pia majongoo, tandu, nyungunyungu, konokono na hata vyura na mijusi. Hulijenga tago lao kwa matope chini ya mwamba. Jike huyataga mayai mawili.
Spishi
- Picathartes gymnocephalus, Kuku-mwamba Shingo-nyeupe (White-necked Picathartes au Rockfowl)
- Picathartes oreas, Kuku-mwamba Shingo-kijivu (Grey-necked Picathartes au Rockfowl)
Picha
-
Kuku-mwamba shingo-nyeupe na shingo-kijivu