Jon Brower Minnoch : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'alt=Jon Brower Minnoch|thumb|Jon Brower Minnoch '''Jon Brower Minnoch''' (Septemba 30, 1941 - Septemba 10, 19...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Jon Brower Minnoch IMG.jpg|alt=Jon Brower Minnoch|thumb|Jon Brower Minnoch]]
[[Picha:Jon Brower Minnoch IMG.jpg|alt=Jon Brower Minnoch|thumb|Jon Brower Minnoch]]
'''Jon Brower Minnoch''' ([[Septemba 30]], [[1941]] - [[Septemba 10]], [[1983]]) alikuwa mwanamume M[[marekani]] ambaye, katika [[uzito]] wake wa juu, alikuwa [[binadamu]] mzito zaidi kuwahi kupimwa akiwa na takribani [[Kilogramu|kilo]] 635 . Takwimu hii ilikuwa tu makadirio ya karibu kwa sababu ukubwa wake uliokithiri, kupungua kwa [[afya]], na kukosa uwezo wa kujongea ulisababisha kutotumika kwa mzani wakati wa upimaji.
'''Jon Brower Minnoch''' ([[Septemba 30]], [[1941]] - [[Septemba 10]], [[1983]]) alikuwa [[mwanamume]] M[[marekani]] ambaye, katika [[uzito]] wake wa juu, alikuwa [[binadamu]] mzito zaidi kuwahi kupimwa akiwa na takribani [[Kilogramu|kilo]] 635. [[Takwimu]] hii ilikuwa tu kadirio la karibu kwa sababu ukubwa wake uliokithiri, kupungua kwa [[afya]], na kukosa uwezo wa kujongea ulisababisha kutotumika kwa [[mizani]] wakati wa [[upimaji]].


{{mbegu-mtu}}
{{mbegu-mtu}}
{{BD|1941|1983}}
[[Jamii:Watu wa Marekani]]

Pitio la 14:43, 17 Machi 2019

Jon Brower Minnoch
Jon Brower Minnoch

Jon Brower Minnoch (Septemba 30, 1941 - Septemba 10, 1983) alikuwa mwanamume Mmarekani ambaye, katika uzito wake wa juu, alikuwa binadamu mzito zaidi kuwahi kupimwa akiwa na takribani kilo 635. Takwimu hii ilikuwa tu kadirio la karibu kwa sababu ukubwa wake uliokithiri, kupungua kwa afya, na kukosa uwezo wa kujongea ulisababisha kutotumika kwa mizani wakati wa upimaji.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jon Brower Minnoch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.