Lukemia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'alt=Seli za mtu mwenye lukemia|thumb|[[Seli za mtu mwenye lukemia]] '''Lukemia''' ni kansa ya seli nyeupe za damu n...'
 
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Acute leukemia-ALL.jpg|alt=Seli za mtu mwenye lukemia|thumb|[[Seli]] za mtu mwenye lukemia]]
[[Picha:Acute leukemia-ALL.jpg|alt=Seli za mtu mwenye lukemia|thumb|[[Seli]] za mtu mwenye lukemia]]
'''Lukemia''' ni [[kansa]] ya [[seli]] nyeupe za [[damu]] na [[uboho wa mfupa]]. Kama mtu akiwa na lukemia, mwili huunda seli nyingi nyeupe za damu (kwa [[Kiingereza]] ''leukocytes'') .
'''Lukemia''' ni [[kansa]] ya [[seli]] [[Seli nyeupe za damu|nyeupe]] za [[damu]] na [[uboho wa mfupa]]. Kama [[mtu]] akiwa na lukemia, [[mwili]] huunda seli nyingi nyeupe za damu (kwa [[Kiingereza]] ''leukocytes'') .


Kuna aina nyingi za lukemia. Lukemia ni mojawapo ya magonjwa makubwa ya [[damu]] (kwa [[Kiingereza]] ''hematological neoplasms''). Lukemia inaweza kusababisha [[kifo]] ndani ya [[wiki]], [[miezi]], au miaka kama isipotibiwa. Maisha ya mtu hutegemeana na aina ya lukemia.
Kuna aina nyingi za lukemia. Lukemia ni mojawapo ya [[magonjwa]] makubwa ya [[damu]] (kwa [[Kiingereza]] ''hematological neoplasms''). Lukemia inaweza kusababisha [[kifo]] ndani ya [[wiki]], [[miezi]], au miaka kama isipotibiwa. [[Maisha]] ya mtu hutegemeana na aina ya lukemia.

Mwaka wa [[2000]], watoto na watu wazima 256,000 [[Dunia|duniani]] kote walipata aina fulani ya lukemia, na 209,000 walikufa kutokana na hiyo aina, wengine waliendelea kuishi. Takribani asilimia 90 ya lukemia zote huonekana kwa watu wazima.


Mwaka wa [[2000]], [[watoto]] na [[watu wazima]] 256,000 [[Dunia|duniani]] kote walipata aina fulani ya lukemia, na 209,000 walikufa kutokana na hiyo aina, wengine waliendelea kuishi. Takribani [[asilimia]] 90 ya lukemia zote huonekana kwa watu wazima.


{{mbegu-tiba}}
{{mbegu-tiba}}

[[Jamii:Saratani]]
[[Jamii:Damu]]

Toleo la sasa la 12:24, 17 Machi 2019

Seli za mtu mwenye lukemia
Seli za mtu mwenye lukemia

Lukemia ni kansa ya seli nyeupe za damu na uboho wa mfupa. Kama mtu akiwa na lukemia, mwili huunda seli nyingi nyeupe za damu (kwa Kiingereza leukocytes) .

Kuna aina nyingi za lukemia. Lukemia ni mojawapo ya magonjwa makubwa ya damu (kwa Kiingereza hematological neoplasms). Lukemia inaweza kusababisha kifo ndani ya wiki, miezi, au miaka kama isipotibiwa. Maisha ya mtu hutegemeana na aina ya lukemia.

Mwaka wa 2000, watoto na watu wazima 256,000 duniani kote walipata aina fulani ya lukemia, na 209,000 walikufa kutokana na hiyo aina, wengine waliendelea kuishi. Takribani asilimia 90 ya lukemia zote huonekana kwa watu wazima.

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lukemia kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.