Hidrokaboni : Tofauti kati ya masahihisho
Mstari 162: | Mstari 162: | ||
== Hidrokaboni aromatiki == |
== Hidrokaboni aromatiki == |
||
Hidrokaboni aromatiki ni molekuli ogania yenye umbo la mviringo tambarare. |
Hidrokaboni aromatiki ni molekuli ogania yenye umbo la mviringo tambarare. |
||
Fomula yao ni C<sub>n</sub>H<sub>2n-6</sub> na "n" ni sawa na |
Fomula yao ni C<sub>n</sub>H<sub>2n-6</sub> na "n" ni sawa na kubwa kuliko 6. |
||
{{mbegu-kemia}} |
|||
[[Category:Hidrokaboni| ]] |
[[Category:Hidrokaboni| ]] |
Pitio la 11:27, 14 Machi 2019
Hidrokaboni ni aina mbalimbali za kampaundi ogania za kikemia zinazojengwa kwa atomi za hidrojeni na kaboni pekee.
Kiasili zinapatika hasa katika mafuta ya petroliamu iliyotokea kutokana na mchakato wa kuoza kwa mimea na mata ogania yenye kaboni na hidrojeni nyingi. Hidrokaboni haziwezi kuingia katika mmenyuko wa kikemia na maji.
Hidrokaboni ni chanzo muhimu cha nishati kwa binadamu duniani; petroli na diseli ni mchanganyiko wa aina za hidrokaboni.
Vikundi vya hidrokaboni
Hidrokaboni hupangwa katika vikundi 5.
Alkani
Alkani ni hidrokaboni za kimsingi. Fomula yao ni CnH2n+2.
Jina la alkani | Fomula |
---|---|
Methani | CH4 |
Ethani | C2H6 |
Propani | C3H8 |
Butani | C4H10 |
Pentani | C5H12 |
Hexani | C6H14 |
Heptani | C7H16 |
Oktani | C8H18 |
Nonani | C9H20 |
Dekani | C10H22 |
Alkeni
Alkeni hufanana na alkani. Lakini zina muungo jozi kati ya kaboni na kaboni. Fomula yao ni CnH2n.
Jina la alkeni | Fomula |
---|---|
Etheni | C2H4 |
Propeni | C3H6 |
Buteni | C4H8 |
Penteni | C5H10 |
Hexeni | C6H12 |
Hepteni | C7H14 |
Okteni | C8H16 |
Noneni | C9H18 |
Deseni | C10H20 |
Alkini
Makala hii au sehemu ya makala hii inahitaji kutafsiriwa kwa Kiswahili. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. |
Alkynes have a carbon to carbon triple bond. CnH2n-2 is their general formula.
Alkyne Name | Formula |
---|---|
Ethyne | C2H2 |
Propyne | C3H4 |
Butyne | C4H6 |
Pentyne | C5H8 |
Hexyne | C6H10 |
Heptyne | C7H12 |
Octyne | C8H14 |
Nonyne | C9H16 |
Decyne | C10H18 |
Sikloalkani
Sikloalkani ni isomeri za alkeni. Fomula yao ni pia (CnH2n) lakini hazina muungo jozi kati ya kaboni na kaboni.
Jina la Sikloalkani | Fomula |
---|---|
Siklopropani | C3H6 |
Siklobutani | C4H8 |
Siklopentani | C5H10 |
Siklohexani | C6H12 |
Sikloheptani | C7H14 |
Sikloctani | C8H16 |
Siklononani | C9H18 |
Siklodekani | C10H20 |
Alkadini
Alkadini zina muungo jozi mbili kati ya kaboni na kaboni. Fomula ni CnH2n-2. Hizi ni isomeri za Alkini.
Hidrokaboni aromatiki
Hidrokaboni aromatiki ni molekuli ogania yenye umbo la mviringo tambarare. Fomula yao ni CnH2n-6 na "n" ni sawa na kubwa kuliko 6.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hidrokaboni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |