Njia Nyeupe : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 5: | Mstari 5: | ||
Hali halisi hii ni jinsi tunavyoona [[galaksi]] yetu ambamo [[mfumo wa jua|mfumo wa Jua letu]] pamoja na Dunia ni sehemu yake. |
Hali halisi hii ni jinsi tunavyoona [[galaksi]] yetu ambamo [[mfumo wa jua|mfumo wa Jua letu]] pamoja na Dunia ni sehemu yake. |
||
==Umbo na umbali== |
|||
Galaksi yetu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Inafanana na kisahani chenye [[umbo]] la [[parafujo]]. [[Kipenyo]] cha kisahani hicho ni [[miakanuru]] 100,000 ikiwa na [[unene]] wa miaka ya nuru 3,000. |
Galaksi yetu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Inafanana na kisahani chenye [[umbo]] la [[parafujo]]. [[Kipenyo]] cha kisahani hicho ni [[miakanuru]] 100,000 ikiwa na [[unene]] wa miaka ya nuru 3,000. |
||
Mstari 18: | Mstari 19: | ||
Idadi kubwa zaidi ya nyota za Njia Nyeupe hatuwezi kuona wala kubainisha, kwa hiyo zinatokea machoni kama [[ukungu]] mweupe tu. |
Idadi kubwa zaidi ya nyota za Njia Nyeupe hatuwezi kuona wala kubainisha, kwa hiyo zinatokea machoni kama [[ukungu]] mweupe tu. |
||
Uwezo wetu wa kuona nyota nyingi umepunguzwa na |
Uwezo wetu wa kuona nyota nyingi zaidi umepunguzwa na idadi kubwa ya nyota zilizopo kati ya mahali petu na [[kitovu]] cha galaksi. |
||
== Muundo == |
== Muundo == |
||
Galaksi yetu ina umbo la parafujo (spirali) ya kisahani. Mahali petu pamoja na jua pako kando kiasi ndani ya uwiano wa kisahani hiki. Tuko takriban 2/3 ya umbali wa kipenyo kutoka kitovu cha kisahani. |
Galaksi yetu ina umbo la parafujo (spirali) ya kisahani. Mahali petu pamoja na jua pako kando kiasi ndani ya uwiano wa kisahani hiki. Tuko takriban 2/3 ya umbali wa kipenyo kutoka kitovu cha kisahani. |
||
Ikitazamwa kutoka juu galaksi yetu ina umbo la parafujo lenye [[mikono]] mbalimbali. Picha hii tumeipata kutokana na kuangalia galaksi za mbali angani zinazoonekana kutoka juu |
Ikitazamwa kutoka juu galaksi yetu ina umbo la parafujo lenye [[mikono]] mbalimbali. Picha hii tumeipata kutokana na kuangalia galaksi za mbali angani zinazoonekana kutoka juu ilhali parafujo inaonekana. |
||
== Marejeo == |
== Marejeo == |
Pitio la 15:44, 13 Machi 2019
Njia Nyeupe (kwa Kiingereza Milky Way), pia majarra au "mkokoto wa kondoo za Sumaili" [1] ni jina la mlia mpana wa nyota nyingi unaoonekana angani wakati wa usiku kama wingu jeupe linalong`aa.
Hali halisi hii ni jinsi tunavyoona galaksi yetu ambamo mfumo wa Jua letu pamoja na Dunia ni sehemu yake.
Umbo na umbali
Galaksi yetu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Inafanana na kisahani chenye umbo la parafujo. Kipenyo cha kisahani hicho ni miakanuru 100,000 ikiwa na unene wa miaka ya nuru 3,000.
Galaksi iliyo karibu zaidi angani inaitwa Andromeda ikiwa na umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5.
Isipokuwa sayari za jua letu na kometi (zinazoonekana mara chache tu) na galaksi ya Andromeda (inayoonekana kama nyota 1), nyota zote ni kama jua letu.
Kuonekana kwa Njia Nyeupe kutoka duniani
Nyota karibu zote tunazoziona kwa macho yetu wakati wa usiku ni sehemu za Njia Nyeupe. Wakati wa giza tunaweza kuona kati ya nyota 3,000 hadi 5,000 bila msaada wa darubini.
Si rahisi kuona nyota nyingi tukiwa mjini, kwenye taa nyingi wakati wa usiku, kwa sababu mwanga wa taa za mjini unaakisiwa katika angahewa na kuzuia kuona mwanga kutoka nje ya angahewa.
Idadi kubwa zaidi ya nyota za Njia Nyeupe hatuwezi kuona wala kubainisha, kwa hiyo zinatokea machoni kama ukungu mweupe tu.
Uwezo wetu wa kuona nyota nyingi zaidi umepunguzwa na idadi kubwa ya nyota zilizopo kati ya mahali petu na kitovu cha galaksi.
Muundo
Galaksi yetu ina umbo la parafujo (spirali) ya kisahani. Mahali petu pamoja na jua pako kando kiasi ndani ya uwiano wa kisahani hiki. Tuko takriban 2/3 ya umbali wa kipenyo kutoka kitovu cha kisahani.
Ikitazamwa kutoka juu galaksi yetu ina umbo la parafujo lenye mikono mbalimbali. Picha hii tumeipata kutokana na kuangalia galaksi za mbali angani zinazoonekana kutoka juu ilhali parafujo inaonekana.
Marejeo
- ↑ Yaani njia ya kondoo wa Ismaili; kuhusu majina ya nyota na sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina asilia linganisha Jan Knappert, The Cosmology of Swahili Islamic Literature, in: Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [1]
Soma pia
- Thorsten Dambeck in Sky and Telescope, "Gaia's Mission to the Milky Way", Machi 2008, p. 36–39.
- Cristina Chiappini, The Formation and Evolution of the Milky Way, American Scientist, November/December 2001, pp. 506-515
Viungo vya nje
- The Milky Way Galaxy from An Atlas of the Universe
- Basic Milky Way plan map, including spiral arms and the Orion spur
- A 3D map of the Milky Way Galaxy
- Chromoscope Tools to Explore the known Milky Way
- Milky Way – IRAS (infrared) survey wikisky.org
- Milky Way – H-Alpha survey wikisky.org
- Interactive full screen Silverlight map of the Milky Way
- Running Rings Around the Galaxy Spitzer Space Telescope News
- The Milky Way Galaxy, SEDS Messier pages
- MultiWavelength Milky Way, NASA site with images and VRML models
- Milky Way Explorer, detailed images in infrared with radio, microwave and hydrogen-alpha as well
- The Milky Way at the Astro-Photography Site Of Mister T. Yoshida.
- Widefield Image of the Summer Milky Way
- Proposed Ring around the Milky Way
- Milky Way spiral gets an extra arm, New Scientist.com
- Possible New Milky Way Spiral Arm, Sky and Telescope.com
- The Milky Way spiral arms and a possible climate connection
- Galactic center mosaic via sun-orbiting Spitzer infrared telescope
- Milky Way Plan Views, The University of Calgary Radio Astronomy Laboratory
- Our Growing, Breathing Galaxy, Scientific American Magazine (Januari 2004 Issue)
- Deriving The Shape Of The Galactic Stellar Disc, SkyNightly (17 Machi 2006)
- Digital Sky LLC, Digital Sky's Milky Way Panorama and other images
- A new view of the Milky Way galaxy obtained by the Diffuse Infrared Background Experiment (DIRBE) on NASA's Cosmic Background Explorer satellite (COBE).
- Image of Milky Way galaxy arms, Chandra X-ray Observatory Center
- The 1920 Shapley – Curtis Debate on the size of the Milky Way
- Milky Way Voyage – India's First & Largest Star Party
- Astronomy Picture of the Day:
- Moving Milkyway seen from Teneriffe without any lightpollution
- Multi-Gigapixel Infrared Milky Way A zoomable, annotated version of the Spitzer Space Telescope GLIMPSE survey.
- Animated tour of the Milky Way, University of Glamorgan