Aruba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 34: Mstari 34:
|areami² = 74.5
|areami² = 74.5
|percent_water = -
|percent_water = -
|population_estimate = 102,911
|population_estimate = 104,822
|population_estimate_rank = ya 197
|population_estimate_rank = ya 197
|population_estimate_year = 2013
|population_estimate_year = 2016
|population_density = 575.21
|population_density = 612
|population_densitymi² = 1489.79
|population_densitymi² = 1585.1
|population_density_rank = ya 22
|population_density_rank = ya 22
|GDP_PPP = $2.45 billion
|GDP_PPP = $2.45 billion
Mstari 58: Mstari 58:
'''Aruba''' ni [[nchi ya kisiwani]] katika [[Bahari ya Karibi]] karibu na [[pwani]] ya [[Venezuela]].
'''Aruba''' ni [[nchi ya kisiwani]] katika [[Bahari ya Karibi]] karibu na [[pwani]] ya [[Venezuela]].


Ilikuwa koloni ya [[Uholanzi]] sasa ni "nchi ya kujitawala" ndani ya muundo wa "Ufalme wa Nchi za Chini" pamoja na Uholanzi yenyewe na nchi mbili nyingine za Karibi zilizokuwa koloni za Uholanzi.
Tangu [[mwaka]] [[1636]] ilikuwa kwa [[kwikwi]] koloni la [[Uholanzi]], lakini sasa ni "nchi ya kujitawala" ndani ya muundo wa "[[Ufalme wa Nchi za Chini]]" pamoja na Uholanzi yenyewe na nchi nyingine [[mbili]] za Karibi zilizokuwa makoloni ya Uholanzi.


==Historia==
==Historia==
Watu wa Aruba walielekea kwenye [[uhuru]] kamili wa kisiasa katika [[miaka ya 1980]] na [[miaka ya 1990| ya 1990]].
Watu wa Aruba walielekea kwenye [[uhuru]] kamili wa kisiasa katika [[miaka ya 1980]] na [[miaka ya 1990|ya 1990]].


Mwaka [[1986]] ilipata [[madaraka]] yote ya kujitawala chini ya [[taji]] la Uholanzi. Uhuru kamili ulipangwa kwa mwaka [[1996]] lakini [[serikali]] ya Aruba iliomba kutoendelea na mpango huo.
Mwaka [[1986]] ilipata [[madaraka]] yote ya kujitawala chini ya [[taji]] la Uholanzi. Uhuru kamili ulipangwa kwa mwaka [[1996]] lakini [[serikali]] ya Aruba iliomba kutoendelea na mpango huo.
Mstari 68: Mstari 68:
Wakazi kwa [[asilimia]] 80 ni mchanganyiko wa [[Waindio]], [[Wazungu]] na pia [[Waafrika]]. [[Watumwa]] Waafrika hawakuwa wengi jinsi ilivyo kwenye visiwa vingi vya [[Karibi]] kwa sababu [[kisiwa]] hicho hakikuwa na ma[[shamba]] mengi ya [[miwa]] kutokana na [[ukame]] wa mahali.
Wakazi kwa [[asilimia]] 80 ni mchanganyiko wa [[Waindio]], [[Wazungu]] na pia [[Waafrika]]. [[Watumwa]] Waafrika hawakuwa wengi jinsi ilivyo kwenye visiwa vingi vya [[Karibi]] kwa sababu [[kisiwa]] hicho hakikuwa na ma[[shamba]] mengi ya [[miwa]] kutokana na [[ukame]] wa mahali.


Wengi wao wanaongea [[Kipapiamento]] pamoja na [[Kiholanzi]] ([[lugha rasmi]]), [[Kiingereza]] na [[Kihispania]].
Upande wa [[dini]], 81% ni [[Wakatoliki]].

Upande wa [[dini]], 75.3% ni [[Wakatoliki]].


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
{{commons}}
{{commons}}
{{Wikivoyage|Aruba}}
* [http://www.aruba.com/ Aruba.com] – official tourism site of Aruba
* {{dmoz|Regional/Caribbean/Aruba}}
* {{Wikiatlas|Aruba}}
*[http://dloc.com/CA03400001/ ''Aruba Esso News''] from the [http://www.bibliotecanacional.aw/pa/corant-digitalisa/27 National Library of Aruba], openly and freely available in the [[Digital Library of the Caribbean]]


{{Amerika Kaskazini}}
{{Amerika Kaskazini}}

Pitio la 11:05, 13 Machi 2019

Aruba

Aruba ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi karibu na pwani ya Venezuela.

Tangu mwaka 1636 ilikuwa kwa kwikwi koloni la Uholanzi, lakini sasa ni "nchi ya kujitawala" ndani ya muundo wa "Ufalme wa Nchi za Chini" pamoja na Uholanzi yenyewe na nchi nyingine mbili za Karibi zilizokuwa makoloni ya Uholanzi.

Historia

Watu wa Aruba walielekea kwenye uhuru kamili wa kisiasa katika miaka ya 1980 na ya 1990.

Mwaka 1986 ilipata madaraka yote ya kujitawala chini ya taji la Uholanzi. Uhuru kamili ulipangwa kwa mwaka 1996 lakini serikali ya Aruba iliomba kutoendelea na mpango huo.

Watu

Wakazi kwa asilimia 80 ni mchanganyiko wa Waindio, Wazungu na pia Waafrika. Watumwa Waafrika hawakuwa wengi jinsi ilivyo kwenye visiwa vingi vya Karibi kwa sababu kisiwa hicho hakikuwa na mashamba mengi ya miwa kutokana na ukame wa mahali.

Wengi wao wanaongea Kipapiamento pamoja na Kiholanzi (lugha rasmi), Kiingereza na Kihispania.

Upande wa dini, 75.3% ni Wakatoliki.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Aruba travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aruba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.