Aruba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 58: Mstari 58:
'''Aruba''' ni [[nchi ya kisiwani]] katika [[Bahari ya Karibi]] karibu na [[pwani]] ya [[Venezuela]].
'''Aruba''' ni [[nchi ya kisiwani]] katika [[Bahari ya Karibi]] karibu na [[pwani]] ya [[Venezuela]].


Inajitawala kama nchi mwanachama katika [[Uholanzi|Ufalme wa Nchi za Chini]] lakini si sehemu ya [[Uholanzi]].
Ilikuwa koloni ya [[Uholanzi]] sasa ni "nchi ya kujitawala" ndani ya muundo wa "Ufalme wa Nchi za Chini" pamoja na Uholanzi yenyewe na nchi mbili nyingine za Karibi zilizokuwa koloni za Uholanzi.


==Historia==
==Historia==

Pitio la 09:42, 13 Machi 2019

Aruba

Aruba ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi karibu na pwani ya Venezuela.

Ilikuwa koloni ya Uholanzi sasa ni "nchi ya kujitawala" ndani ya muundo wa "Ufalme wa Nchi za Chini" pamoja na Uholanzi yenyewe na nchi mbili nyingine za Karibi zilizokuwa koloni za Uholanzi.

Historia

Watu wa Aruba walielekea kwenye uhuru kamili wa kisiasa katika miaka ya 1980 na ya 1990.

Mwaka 1986 ilipata madaraka yote ya kujitawala chini ya taji la Uholanzi. Uhuru kamili ulipangwa kwa mwaka 1996 lakini serikali ya Aruba iliomba kutoendelea na mpango huo.

Watu

Wakazi kwa asilimia 80 ni mchanganyiko wa Waindio, Wazungu na pia Waafrika. Watumwa Waafrika hawakuwa wengi jinsi ilivyo kwenye visiwa vingi vya Karibi kwa sababu kisiwa hicho hakikuwa na mashamba mengi ya miwa kutokana na ukame wa mahali.

Upande wa dini, 81% ni Wakatoliki.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aruba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.