Jamhuri ya shirikisho : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 langlinks, now provided by Wikidata on d:q512187; 3 langlinks remaining
d wikidata interwiki
Mstari 25: Mstari 25:


[[Category:Siasa]]
[[Category:Siasa]]

[[es:República federal]]
[[it:Repubblica federale]]
[[sv:Förbundsrepublik]]

Pitio la 13:37, 7 Machi 2019

Shirikisho la Jamhuri ni muundo wa kisiasa ambako jamhuri hutazamiwa kama maungano wa maeneo ndani yake -kwa kawaida huitwa "majimbo"- yenye haki zao zisizopewa wala zisizonyanganywa na serikali kuu ya kitaifa.

Katika muundo huu taifa hatawaliwi na serikali moja katika mambo yote lakini madaraka hugawiwa kati ya madaraka ya serikali ya kitaifa na madaraka ya majimbo.

Mara nyingi maazimio kuhusu mambo ya utamaduni hubaki kwenye ngazi ya jimbo lakini pia sehemu za kodi na sisasa ya kiuchumi. Siasa ya nje na mambo ya jeshi hushikwa na serikali kuu. Mambo mengine hutegemea na utaratibu wa kikatiba katika kila nchi.

Mifano ya mashirikisho ya jamhuri:

Si lazima ya kwamba kila shirikisho ni jamhuri. Mifano ya shirikisho la kifalme ni Falme za Kiarabu na Malaysia; kihistoria pia Dola la Ujerumani hadi 1918.