Tredimili : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 13: Mstari 13:
Hivi leo, tredimili imekuwepo katika kila [[chumba cha mazoezi]]. [[Takwimu]]<ref>[https://www.sfia.org/ Sports & Fitness Industry Association zaonyesha kwamba tredimili zinanunuliwa kwa wingi sana.
Hivi leo, tredimili imekuwepo katika kila [[chumba cha mazoezi]]. [[Takwimu]]<ref>[https://www.sfia.org/ Sports & Fitness Industry Association zaonyesha kwamba tredimili zinanunuliwa kwa wingi sana.


Tredimili zina [[uzani]] tofauti. Kuna zile ambazo hufai kuzitumia kama wewe umefikisha uzani wa [[paundi]] [[mia nne]] kwenda juu. Kuna nyingine za uzani wa paundi mia tatu hamsini kwenda juu. Hivyo kuna tredimili tofauti kulingana na watumiaji. Walio na [[uzani]] wa [[wastani]], watatumia tredimili ya wastani huku walio na [[uzito]] mwingi watatumia tredimili za watu wakubwa <ref>https://plussizezeal.com/best-treadmill-for-heavy-person/</ref>.
Tredimili zina [[uzani]] tofauti. Kuna zile ambazo hufai kuzitumia kama wewe umefikisha uzani wa [[paundi]] [[mia nne]] kwenda juu. Kuna nyingine za uzani wa paundi mia tatu hamsini kwenda juu. Hivyo kuna tredimili tofauti kulingana na watumiaji. Walio na [[uzani]] wa [[wastani]], watatumia tredimili ya wastani huku walio na [[uzito]] mwingi watatumia tredimili za watu wakubwa.


Mambo mengine ya kuzingatia ni mwendo wa tredimili (kwa maana tredimilli zina mwendo tofauti), ukubwa wake, na mwinuko wake.<ref>{{Citation|last=Guides Insider|first=|title=Best Treadmill Under 500|date=11 June 2018|url=https://www.guidesinsider.com/the-best-treadmill-under-500/|work=Guides Insider|volume=|pages=|language=en-US|access-date=11 July 2018}}</ref>
Mambo mengine ya kuzingatia ni mwendo wa tredimili (kwa maana tredimilli zina mwendo tofauti), ukubwa wake, na mwinuko wake.<ref>{{Citation|last=Guides Insider|first=|title=Best Treadmill Under 500|date=11 June 2018|url=https://www.guidesinsider.com/the-best-treadmill-under-500/|work=Guides Insider|volume=|pages=|language=en-US|access-date=11 July 2018}}</ref>

Pitio la 10:43, 1 Machi 2019

Tredimili (kutoka Kiingereza "treadmill") ni kifaa kinachopatikana katika chumba cha kufanyia mazoezi (gym) ambacho hutumiwa kwa kutembelea pahala pamoja ili mtu aweze kupunguza kilo mwilini.

Tredimili hutengenezwa kwa kutumia kamba au uzio ambao huzungukazunguka huku mtu akitembea juu. Kwa hali hii, mtu huhisi kana kwamba ametembea maili nyingi na kutoa jasho ilhali yu palepale.

Tredimili hutumia nishati ya stima ili iweze kuzungushazungusha ule uzio.

Historia ya tredimili

Kitambo, tredimili zilitumika kwa kusaga mtama na mahindi ambapo nguvu zile za kukanyagia ule uzio zilitumika kuzungusha kisiagi na kwa hiyo kufanya mahindi au mtama viwe unga.

Vile vile, tredimili au trediwhili kama inavyojulikana ilitumika kwa kuwatesa wafungwa waliokosa nidhamu. Kwa kutembezwa katika ule uzio unaozungukazunguka, wafungwa walihisi maonevu na kuchoka na kwa hiyo hawangekosa nidhamu tena.

Matumizi ya tredimili leo

Hivi leo, tredimili imekuwepo katika kila chumba cha mazoezi. TakwimuHitilafu ya kutaja: Closing </ref> missing for <ref> tag

Hata hivyo, wanaotaka kupunguza uzani wamekuwa wakitumia vitu vingine kama vile kamba za kurukia, baiskeli ya kwendeshea, madawa [1][2] na mazoezi ukitumia benchi.

Vifaa katika tredimili

Pindi teknolojia inavyoendelea ndivyo tredimili zinavyopata vifaa tofauti za kuziboresha kama:

  1. Feni ya kupepea ili mwenye kutumia asipatwe na joto jingi
  2. Mahala pa kuwekelea pajatarakilishi ili mtumizi aweze kufanya kazi huku akitembea kwa tredimili
  3. Mahala pa kuweka chaji kwa simu
  4. Spika ili mtembeaji aweze kusikiza muziki anapofanya mazoezi.

Usalama ukitumia tredimili

Uzio wa tredimili huenda ukakuangusha na ukaumia vibaya. Pindi tredimili inapozunguka, inafaa ukimbie. Vitu kama utumizi wa simu ya rununu, unywaji wa kahawa huenda zikakufanya usahau kwamba upo juu ya tredimili, ukaenda pole na kuumia vibaya maana uzio wa mashine huu hautasimama.

Viatu vya tredimili vyafaa viwe vya kispoti; huwezi ukatumia tredimili na viatu vya ofisini kufanyia mazoezi[3].

Tanbihi

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tredimili kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.