Wanyiha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 5: Mstari 5:
Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo [[Wasafwa]], [[Wandali]], [[Wanyakyusa]], [[Wabungu]] na [[Wanyamwanga]].
Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo [[Wasafwa]], [[Wandali]], [[Wanyakyusa]], [[Wabungu]] na [[Wanyamwanga]].


Wanyiha walio wengi ni [[wakulima]]: [[zao]] kuu la [[chakula]] ni [[mahindi]] wakati zao kubwa la [[biashara]] ni [[kahawa]].wanyiha wengi wanapatikana wilaya ya mbozi...kabila hili katika utamkaji wa maneno hufanana sana na wasafwa na wamalila....wanyiha ni wapole na wasikivu...baadhi ya koo za kinyiha ni mwashiozya,mwashiuyà,mwembe,nzunda,mwembe na zingine...chifu wa wanyiha ni Nzunda...
Wanyiha walio wengi ni [[wakulima]]: [[zao]] kuu la [[chakula]] ni [[mahindi]] wakati zao kubwa la [[biashara]] ni [[kahawa]]. Wanyiha wengi wanapatikana wilaya ya mbozi. Kabila hili katika utamkaji wa maneno hufanana sana na [[Wasafwa]] na [[Wamalila]]. Wanyiha ni wapole na wasikivu. Baadhi ya koo za kinyiha ni Mwashiozya, Mwashiuyà, Mwembe, Nzunda, n.k. Chifu wa Wanyiha ni [[Nzunda]].


==Marejeo==
==Marejeo==

Pitio la 01:03, 27 Februari 2019

Wanyiha ni kabila la watu wa Zambia na Tanzania (Mkoa wa Mbeya, Wilaya ya Mbozi). Pia wako Malawi na sehemu nyingine. Kwa jumla ni zaidi ya 600,000.

Lugha yao ni Kinyiha.

Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo Wasafwa, Wandali, Wanyakyusa, Wabungu na Wanyamwanga.

Wanyiha walio wengi ni wakulima: zao kuu la chakula ni mahindi wakati zao kubwa la biashara ni kahawa. Wanyiha wengi wanapatikana wilaya ya mbozi. Kabila hili katika utamkaji wa maneno hufanana sana na Wasafwa na Wamalila. Wanyiha ni wapole na wasikivu. Baadhi ya koo za kinyiha ni Mwashiozya, Mwashiuyà, Mwembe, Nzunda, n.k. Chifu wa Wanyiha ni Nzunda.

Marejeo

  • Arnold, Bernd; Steuer und Lohnarbeit im Südwesten von Deutsch Ostafrika
  • Bauer, Andreus; Emperial Rugaruga ("Raise the Flag of War")
  • Becker, Perbandt, Richelmann & Schmidt, Steuber. Hermann von Wissmann, Deutschlands Grösster Africaner
  • Brock, Beverly; The Nyiha of Mbozi
  • Willis, Roy G.; The Fipa and Related Peoples
  • Weule, Karl; Deutsches Kolonial Lexicon, Band IIIs. 673
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyiha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.