Wamijikenda : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Mijikenda''' ("miji au makabila tisa") ni jina la kutaja jumla vikundi tisa kwenye pwani la [[Kenya]]. "[[Kenda]]" ni Kiswahili asilia kwa namba 9. Vikundi hivi wakati mwingine huitwa koo wakati mwingine makabila. Watazamiwa kuwa vikundi ya pekee vinavyoshirikiana lugha moja kwa lahaja mbalimbali.
'''Mijikenda''' ("miji au makabila tisa": "[[kenda]]" ni [[Kiswahili]] asilia kwa [[namba]] 9) ni [[jina]] la kutaja jumla vikundi [[tisa]] kwenye [[pwani]] ya [[Kenya]]. Vikundi hivi wakati mwingine huitwa [[Ukoo|koo]], wakati mwingine [[Kabila|makabila]]. Watazamwa kuwa vikundi ya pekee vinavyoshiriki [[lugha]] moja kwa [[lahaja]] mbalimbali.


Idadi yao ilikuwa takriban 750,000 manmo mwaka 1980.
[[Idadi]] yao ilikuwa takriban 750,000 mnamo [[mwaka]] [[1980]].


==Historia==
==Historia==
Utamaduni wa Mijikenda ulikua na kuendelea katika mazingira ya miji ya Waswahili lakini tofauti na [[Waswahili]] wenyewe.
[[Utamaduni]] wa Mijikenda ulikua na kuendelea katika [[mazingira]] ya [[miji]] ya [[Waswahili]] lakini tofauti na [[Waswahili]] wenyewe.
Kwa jumla waliwahi kuitwa na watu wa nje pia "Wanyika" yaani watu wa porini.
Kwa jumla waliwahi kuitwa na watu wa nje pia "Wanyika" yaani watu wa [[Pori|porini]].


Katika kumbukumbu yao wenyewe asili yao ilikuwa eneo la Singwaya au Shungwaya katika kaskazini ya Somalia wakasukumwa kwneda kusi ni na uenezaji wa [[Waoromo]].
Katika [[kumbukumbu]] yao wenyewe [[asili]] yao ilikuwa eneo la Singwaya au Shungwaya [[kaskazini]] mwa [[Somalia]] wakasukumwa kwenda [[kusini]] na uenezi wa [[Waoromo]].


Wataalamu wengine hukubali kiini cha kweli katika masimulizi haya wengine huona mijikenda ni kundi lililotokea kutokana na vikundi mablimbali.
[[Wataalamu]] wengine hukubali [[kiini]] cha kweli katika masimulizi hayo, wengine huona mijikenda ni [[kundi]] lililotokana na vikundi mbalimbali.


==Kaya==
==Kaya==
"Mji" wa jina "Mijikenda" ulikuwa kiasili mahala pa kaya au mahali patakatifu ambako kundi likakusanyika kupeleka maombi mbele wa mizimu. Kaya hizi zatunzwa hadi leo hata kama idadi kubwa wamekuwa ama Waislamu au Wakristo. Ziko kwenye vilima vilivyopo nyuma ya pwani lenyewe.
"Mji" wa jina "Mijikenda" ulikuwa kiasili mahala pa [[kaya]] au mahali [[patakatifu]] ambako kundi likakusanyika kupeleka maombi kwa [[mizimu]]. Kaya hizo zatunzwa hadi leo, hata kama idadi kubwa wamekuwa ama [[Waislamu]] au [[Wakristo]]. Ziko kwenye [[vilima]] vilivyopo nyuma ya pwani yenyewe.


==Vikundi==
==Vikundi==
Mstari 24: Mstari 24:
*[[Warabai]]
*[[Warabai]]
*[[Wajibana]]
*[[Wajibana]]
*[[Wagiriama]].
*[[Wagiryama]].


Wadigo wako kusini kabisa wakiingia hadi [[Tanzania]] ya leo.
Wadigo wako kusini kabisa, wakiingia hadi [[Tanzania]] ya leo.


==Viungo vya Nje==
==Viungo vya Nje==

Pitio la 12:37, 18 Februari 2019

Mijikenda ("miji au makabila tisa": "kenda" ni Kiswahili asilia kwa namba 9) ni jina la kutaja jumla vikundi tisa kwenye pwani ya Kenya. Vikundi hivi wakati mwingine huitwa koo, wakati mwingine makabila. Watazamwa kuwa vikundi ya pekee vinavyoshiriki lugha moja kwa lahaja mbalimbali.

Idadi yao ilikuwa takriban 750,000 mnamo mwaka 1980.

Historia

Utamaduni wa Mijikenda ulikua na kuendelea katika mazingira ya miji ya Waswahili lakini tofauti na Waswahili wenyewe. Kwa jumla waliwahi kuitwa na watu wa nje pia "Wanyika" yaani watu wa porini.

Katika kumbukumbu yao wenyewe asili yao ilikuwa eneo la Singwaya au Shungwaya kaskazini mwa Somalia wakasukumwa kwenda kusini na uenezi wa Waoromo.

Wataalamu wengine hukubali kiini cha kweli katika masimulizi hayo, wengine huona mijikenda ni kundi lililotokana na vikundi mbalimbali.

Kaya

"Mji" wa jina "Mijikenda" ulikuwa kiasili mahala pa kaya au mahali patakatifu ambako kundi likakusanyika kupeleka maombi kwa mizimu. Kaya hizo zatunzwa hadi leo, hata kama idadi kubwa wamekuwa ama Waislamu au Wakristo. Ziko kwenye vilima vilivyopo nyuma ya pwani yenyewe.

Vikundi

Vikundi hivi tisa ni:

Wadigo wako kusini kabisa, wakiingia hadi Tanzania ya leo.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wamijikenda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.