Pate : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q542168 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Lamu Pate Map.jpg|thumb|right|300px|Ramani ya kisiwa cha Pate (Kenya)]]
[[Picha:Lamu Pate Map.jpg|thumb|right|300px|Ramani ya kisiwa cha Pate (Kenya)]]
'''Pate''' ni kisiwa kikubwa cha [[funguvisiwa]] ya [[Lamu]] mbele ya pwani la [[Kenya]] katika [[Bahari Hindi]]. Pate ni kisiwa ambacho ni karibu na [[Somalia]]. Wakati ya maji kujaa Pate inagawanywa katika sehemu mbili kwa mtaro wa bahari karibu na [[Siyu]]; wakati wa maji kupwa mtaro huwa ni pakavu.
'''Pate''' ni [[kisiwa]] kikubwa cha [[funguvisiwa la Lamu]] mbele ya [[pwani]] ya [[Kenya]] katika [[Bahari Hindi]]. Pate ni kisiwa ambacho ni karibu na [[Somalia]].


Wakati ya [[maji kujaa]] Pate inagawanywa katika sehemu [[mbili]] kwa mtaro wa [[bahari]] karibu na [[Siyu]]; wakati wa [[maji kupwa]] mtaro huwa pakavu.
Pate ilikuwa kati ya mahali pa kwanza pa kutembelewa na wafanyabiashara [[Waarabu]], labda kuanzia karne ya 7 [[BK]]. Inawezekana ilikuwa tayari kati ya mahali palipotajwa katika taarifa za kale kuhusu [[Azania]] kama vile [[Periplus ya Bahari ya Eritrea]].


Pate ilikuwa kati ya mahali pa kwanza kutembelewa na [[wafanyabiashara]] [[Waarabu]], labda kuanzia [[karne ya 7]] [[BK]]. Inawezekana ilikuwa tayari kati ya mahali palipotajwa katika taarifa za kale kuhusu [[Azania]] kama vile [[Periplus ya Bahari ya Eritrea]].
Kisiwa cha Pate kilikuwa mahali pa miji muhimu ya Waswahili [[Pate (mji)|Pate]], [[Siyu]] na [[Faza]] iliyoshindana na mji wa Lamu juu ya kipaumbele katika funguvisiwa. Katika karne ya 19 BK umuhimu wa miji hii ilirudi nyuma.


Kisiwa kilikuwa sehemu ya dola la [[Usultani ya Zanzibar]] katika karne ya 19.
Kisiwa cha Pate kilikuwa mahali pa [[miji]] muhimu ya [[Waswahili]] [[Pate (mji)|Pate]], [[Siyu]] na [[Faza]] iliyoshindana na mji wa Lamu juu ya kipaumbele katika funguvisiwa. Katika [[karne ya 19]] umuhimu wa miji hiyo ilirudi nyuma.


Kisiwa kilikuwa sehemu ya [[dola]] la [[Usultani ya Zanzibar]] katika karne ya 19.
Siku hizi Faza ni kijiji kikubwa cha Pate penye hospitali ndogo, polisi, nyumba ya wageni, shule ya sekondari na maduka. 2004 palikuwa na gari moja tu kisiwani ni gari la hospitali.


Siku hizi Faza ni [[kijiji]] kikubwa cha Pate chenye [[hospitali]] ndogo, [[polisi]], [[nyumba ya wageni]], [[shule]] ya [[sekondari]] na [[Duka|maduka]].

[[Mwaka]] [[2004]] palikuwa na [[gari]] [[moja]] tu kisiwani, yaani gari la hospitali.

==Tazama pia==
* [[Orodha ya visiwa vya Kenya]]

==Marejeo==
{{Marejeo}}

{{mbegu-jio-KE}}
[[Jamii:Visiwa vya Bahari ya Hindi]]
[[Jamii:Visiwa vya Bahari ya Hindi]]
[[Jamii:Visiwa vya Kenya]]
[[Jamii:Visiwa vya Kenya]]
[[Jamii:Waswahili]]
[[Jamii:Waswahili]]
[[Jamii:Kaunti ya Lamu]]

Pitio la 12:32, 11 Februari 2019

Ramani ya kisiwa cha Pate (Kenya)

Pate ni kisiwa kikubwa cha funguvisiwa la Lamu mbele ya pwani ya Kenya katika Bahari Hindi. Pate ni kisiwa ambacho ni karibu na Somalia.

Wakati ya maji kujaa Pate inagawanywa katika sehemu mbili kwa mtaro wa bahari karibu na Siyu; wakati wa maji kupwa mtaro huwa pakavu.

Pate ilikuwa kati ya mahali pa kwanza kutembelewa na wafanyabiashara Waarabu, labda kuanzia karne ya 7 BK. Inawezekana ilikuwa tayari kati ya mahali palipotajwa katika taarifa za kale kuhusu Azania kama vile Periplus ya Bahari ya Eritrea.

Kisiwa cha Pate kilikuwa mahali pa miji muhimu ya Waswahili Pate, Siyu na Faza iliyoshindana na mji wa Lamu juu ya kipaumbele katika funguvisiwa. Katika karne ya 19 umuhimu wa miji hiyo ilirudi nyuma.

Kisiwa kilikuwa sehemu ya dola la Usultani ya Zanzibar katika karne ya 19.

Siku hizi Faza ni kijiji kikubwa cha Pate chenye hospitali ndogo, polisi, nyumba ya wageni, shule ya sekondari na maduka.

Mwaka 2004 palikuwa na gari moja tu kisiwani, yaani gari la hospitali.

Tazama pia

Marejeo