Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
|||
Mstari 21: | Mstari 21: | ||
'''OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!''' |
'''OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!''' |
||
⚫ | |||
* [[en:capacitor]] : sw: [[kapasita]] |
|||
⚫ | |||
* [[en:classical mechanics]] : sw: [[umakanika kawaida]] |
|||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/Capacitor capacitor] * sw: [[kapasita]] |
|||
⚫ | |||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/classical_mechanics classical mechanics] * sw: [[classical mechanics]] |
|||
⚫ | |||
⚫ | |||
⚫ | |||
⚫ | |||
⚫ | |||
⚫ | |||
* [[en:general relativity]] : sw: [[uhusianifu majumui]] |
|||
⚫ | |||
* [[en:inductor]] : sw: [[kidukizi]] |
|||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/general_relativity general relativity] * sw: [[general relativity]] |
|||
* [[en:infinity]] : sw: [[msopeo]]? - [[bila kikomo]] ? |
|||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/inductor inductor] * sw: [[inductor]] |
|||
* [[en:linear algebra]] : sw: [[aljebra mstari]] |
|||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/infinity infinity] * sw: [[infinity]] |
|||
* [[en:mathematical analysis]] : sw: [[uchambuzi wa kihisabati]] |
|||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/linear_algebra linear algebra] * sw: [[linear algebra]] |
|||
* [[en:mathematical proof]] : sw: [[Thibitisho ya kihisabati]] |
|||
* [[en:number theory]] : sw: [[nadharia ya namba]] |
|||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/mathematical_proof mathematical proof] * sw: [[mathematical proof]] |
|||
* [[en:numerical analysis]] : sw: [[uchambuzi namba]] |
|||
⚫ | |||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/numerical_analysis numerical analysis] * sw: [[numerical analysis]] |
|||
⚫ | |||
⚫ | |||
⚫ | |||
⚫ | |||
* [[en:quantum mechanics]] : sw: [[umakanika kwanta]] |
|||
⚫ | |||
* [[en:semiconductor]] : sw: [[nusukipitishi]] |
|||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/quantum_mechanics quantum mechanics] * sw: [[quantum mechanics]] |
|||
* [[en:set theory]] : sw: [[nadharia seti]] |
|||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/semiconductor semiconductor] * sw: [[semiconductor]] |
|||
* [[en:special relativity]] : sw: [[uhusianifu maalum]] |
|||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/set_theory set theory] * sw: [[set theory]] |
|||
* [[en:strong interaction]] : sw: [[mtagusano madhubuti]] |
|||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/special_relativity special relativity] * sw: [[special relativity]] |
|||
* [[en:weak interaction]] : sw: [[mtagusano daifu]] |
|||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/weak_interaction weak interaction] * sw: [[weak interaction]] |
Pitio la 11:15, 11 Februari 2019
Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo: ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.
Kwenye kurasa za meta.wikipedia.org kuna majadiliano mfululizo kuhusu makala za kimsingi ni zipi. Tokeo la majadiliano ni orodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipedia inayoendelea kuhaririwa.
Hapo chini ni mada katika Wikipedia ya Kiingereza (ambayo ni Wikipedia kubwa zaidi na hivyo ni ya msingi kwa kazi hii) ambazo hazikuonekana katika wikipedia ya Kiswahili kwa "macho" za roboti zinazolinganisha Wikipedia za lugha mbalimbali. Chanzo chake ni Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili.
Kila mwanawikipedia anaombwa
- kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina jekundu upande wa kulia kutaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni jina la Kiingereza bado, ulitafsiri kabla ya kuanza.
- Kuboresha michango katika orodha ya "makala 1000" kwa kuiongeza matini maana nyingine bado ni fupi sana
Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha Wikipedia mbalimbali zinaweza kukosea. Kwa mfano hazikutambua makala ya "Brussels" katika Wikipedia yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala ipo. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya Wikipedia ya Kiswahili.
Kwa orodha kamili ya makala zote 1000 tazama hapa: Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000.
Baada ya kumaliza kuna pia orodha iliyopanuliwa ya makala 10,000 Meta:List of articles every Wikipedia should have/Expanded
Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 za msingi
(hali ya Februari 2019) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa Wikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)
OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!
- : sw: animation
- : sw: kapasita
- : sw: umakanika kawaida
- : sw: kanuni ya hifadhi ya nishati
- : sw: mlinganyo tenguo
- : sw: muziki elektroniki
- : sw: namba tegemezi
- : sw: uhusianifu majumui
- : sw: kidukizi
- : sw: msopeo? - bila kikomo ?
- : sw: aljebra mstari
- : sw: uchambuzi wa kihisabati
- : sw: Thibitisho ya kihisabati
- : sw: nadharia ya namba
- : sw: uchambuzi namba
- : sw: operating system
- : sw: kemia ya fizikia
- : sw: programming language
- : sw: umakanika kwanta
- : sw: nusukipitishi
- : sw: nadharia seti
- : sw: uhusianifu maalum
- : sw: mtagusano madhubuti
- : sw: mtagusano daifu