Tofauti kati ya marekesbisho "Fonolojia"

Jump to navigation Jump to search
2 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
'''Fonolojia''' (hasa huitwa '''Sarufi Matamshi''') ni [[tawi]] la [[sayansi]] ya [[isimu]]. Inashughulikia [[uchunguzi]] wa [[mfumo wa sauti]] katika [[lugha]] fulani, kwa mfano ugawanyaji wa [[irabu]] na [[konsonanti]].
 
Ala za [[sauti]] ([[vipashio]] vya utamkaji) zinatumika katika utamkaji wa [[fonimu]] (vitamkwa) za lugha husika. Mkondo wa hewa wakati wa utamkaji. Kuwepo na kutokuwepo kwa mguno wakati wa utamkaji (gunaghuna/sigunasighuna).
 
[[Utanzu]] huu hushughulikia kanuni zinazotawala uchambuzi wa mfumo wa sauti, yaani, sauti kutamkwaje na wapi katika [[kinywa]] cha [[mwanadamu]].
Anonymous user

Urambazaji