Walanyama : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Brown Bear us fish.jpg|thumb|[[Brown bear]], mmoja kati ya walanyama wakubwa zaidi.]]
[[File:Brown Bear us fish.jpg|thumb|[[Brown bear]], mmoja kati ya walanyama wakubwa zaidi.]]
[[File:Trillium Poncho cat dog.jpg|thumb|[[Paka]] na [[mbwa]], [[wanyama wa nyumbani]].]]
[[File:Trillium Poncho cat dog.jpg|thumb|[[Paka]] na [[mbwa]], [[wanyama wa nyumbani]].]]
'''Walanyama''' (pia: '''Wagwizi'''; kwa [[Kilatini]]: '''Carnivora''') ni mpangilio wa kisayansi ambao hujumuisha aina zaidi ya 280 za [[wanyama]]<ref>Flynn, J. J.; Finarelli, J. A.; Zehr, S.; Hsu, J.; Nedbal, M. A. (April 2005). "Molecular phylogeny of the Carnivora (Mammalia): Assessing the impact of increased sampling on resolving enigmatic relationships". Systematic Biology 54 (2): 317–37. doi:10.1080/10635150590923326 . PMID 16012099</ref>.
'''Walanyama''' (pia: '''Wagwizi'''; kwa [[Kilatini]]: '''Carnivora''') ni mpangilio wa kisayansi ambao hujumuisha aina zaidi ya 280 za [[wanyama]] wa [[ngeli]] ya [[mamalia|mamalia (wanaonyonyesha wadogo wao)]]<ref>Flynn, J. J.; Finarelli, J. A.; Zehr, S.; Hsu, J.; Nedbal, M. A. (April 2005). "Molecular phylogeny of the Carnivora (Mammalia): Assessing the impact of increased sampling on resolving enigmatic relationships". Systematic Biology 54 (2): 317–37. doi:10.1080/10635150590923326 . PMID 16012099</ref>.

Ukubwa wao unaanzia kwa [[Weasel mdogo]] (Mustela nivalis), kama [[gramu]] 25 (oz 0.88) na [[sentimeta]] 11 (in 4.3), hadi [[Bear polar]] (Ursus maritimus), ambaye anaweza kupima [[kilogramu]] 1,000 (lb 2,200), na [[Tembo-bahari]] wa kusini (Mirounga leonina), ambao [[wanaume]] wazima wanafikia kilogramu 5,000 (lb 11,000) na [[urefu]] wa [[mita]] 6.9 ([[futi]] 23).

Pitio la 12:52, 29 Januari 2019

Brown bear, mmoja kati ya walanyama wakubwa zaidi.
Paka na mbwa, wanyama wa nyumbani.

Walanyama (pia: Wagwizi; kwa Kilatini: Carnivora) ni mpangilio wa kisayansi ambao hujumuisha aina zaidi ya 280 za wanyama wa ngeli ya mamalia (wanaonyonyesha wadogo wao)[1].

Ukubwa wao unaanzia kwa Weasel mdogo (Mustela nivalis), kama gramu 25 (oz 0.88) na sentimeta 11 (in 4.3), hadi Bear polar (Ursus maritimus), ambaye anaweza kupima kilogramu 1,000 (lb 2,200), na Tembo-bahari wa kusini (Mirounga leonina), ambao wanaume wazima wanafikia kilogramu 5,000 (lb 11,000) na urefu wa mita 6.9 (futi 23).

Picha

Tanbihi

  1. Flynn, J. J.; Finarelli, J. A.; Zehr, S.; Hsu, J.; Nedbal, M. A. (April 2005). "Molecular phylogeny of the Carnivora (Mammalia): Assessing the impact of increased sampling on resolving enigmatic relationships". Systematic Biology 54 (2): 317–37. doi:10.1080/10635150590923326 . PMID 16012099

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walanyama kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.