Mshale (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Kipala moved page Kausi (kundinyota) to Mshale (kundinyota) over redirect
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
<sup>Kwa habari za sayari (wakati mwingine kwa kosa huitwa pia "Kausi") angalia hapa [[Neptun]]; kwa matumizi mengine ya jina "Sagittarius" angalia hapa [[Sagittarius]]</sup>
<sup>Kwa habari za sayari (wakati mwingine kwa kosa huitwa pia "Kausi") angalia hapa [[Neptun]]; kwa matumizi mengine ya jina "Sagittarius" angalia hapa [[Sagittarius]]</sup>


[[Picha:Kausi Sagittarius.png|thumb|400px|Nyota za Kausi angani (mistari imeongezwa kwenye picha tu)]]
[[Picha:Kausi Sagittarius.png|thumb|400px|Nyota za Mahale au Kausi angani (mistari imeongezwa kwenye picha tu)]]
[[Picha:Sidney Hall - Urania's Mirror - Sagittarius and Corona Australis, Microscopium, and Telescopium.jpg|thumb|Kausi (sagittarius) jinsi anavyochorwa na msanii]]
[[Picha:Sidney Hall - Urania's Mirror - Sagittarius and Corona Australis, Microscopium, and Telescopium.jpg|thumb|Mshale (Kausi - Sagittarius) jinsi inavyochorwa na msanii]]


'''Kausi''' (pia Mshale au '''[[:en:Sagittarius (constellation)|Sagittarius]]'''<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Sagittarius" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Sagittarii" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Sagittarii, nk.</ref> kwa Kilatini/Kiingereza) ni jina la [[kundinyota]] kwenye [[zodiaki]].
'''Mshale''' (pia '''Kausi''' au '''[[:en:Sagittarius (constellation)|Sagittarius]]'''<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Sagittarius" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Sagittarii" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Sagittarii, nk.</ref> kwa Kilatini/Kiingereza) ni jina la [[kundinyota]] kwenye [[zodiaki]].


[[Nyota]] za Kausi huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi. Kwa hiyo kundinyota "Kausi" inaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoiona kutoka Duniani.
[[Nyota]] za Mshale huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi. Kwa hiyo kundinyota "Mshale" inaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoiona kutoka Duniani.


==Jina==
==Jina==
Jina la Kiswahili limetokana na neno la Kiarabu ''Kaus'' <big>قوس</big> linalomaanisha "[[upinde]]", maana hii ni karibu sawa na jina la [[Kilatini]] "sagittarius" (mpiga upinde). Wataalamu wa kale waliona katika nyota zake picha ya mtu anayekalia juu ya farasi akishika pinde na kulenga mshale.
Mshale ni tafsiri ya Kausi. Mabaharia Waswahili wamejua nyota hizi kwa muda mrefu kwa jina la Kausi linalotokana na neno la Kiarabu ''Kaus'' <big>قوس</big> linalomaanisha "[[upinde]]", maana hii ni karibu sawa na jina la [[Kilatini]] "Sagittarius" (mpiga upinde). Wataalamu wa kale waliona katika nyota zake picha ya mtu anayekalia juu ya farasi akishika pinde na kulenga mshale.


Jina la "Kaus" limetumiwa pia katika astronomia ya kimagharibi kutaja nyota kadhaa zilizomo hapa kama vile Kaus Australis, Kaus Medius na Kaus Borealis.
Jina la "Kaus" limetumiwa pia katika [[astronomia ya kimagharibi]] kutaja nyota kadhaa zilizomo hapa kama vile Kaus Australis, Kaus Medius na Kaus Borealis.


Katika vitabu kadhaa vya shule za msingi nchini Tanzania "Kausi" imetumiwa kwa kosa kutaja [[sayari]] ya nane katika [[mfumo wa jua]] letu yaani [[Neptun]].
Katika vitabu kadhaa vya shule za msingi nchini Tanzania "Kausi" imetumiwa kwa kosa kutaja [[sayari]] ya nane katika [[mfumo wa jua]] letu yaani [[Neptun]].


==Kuonekana==
==Kuonekana==
Kausi inaonekana pale angani ambako [[njia nyeupe]] inang'aa zaidi yaani kuelekea kitovu cha [[galaksi]] yetu.
Mshale inaonekana pale angani ambako [[njia nyeupe]] inang'aa zaidi yaani kuelekea kitovu cha [[galaksi]] yetu.


Kausi ni kati ya fungunyota zilizojulikana tangu karne nyingi zikitumiwa hasa na mabaharia kutafuta njia baharini wakati wa usiku.
Mshale ni kati ya kundinyota zilizojulikana tangu karne nyingi zikitumiwa hasa na mabaharia kutafuta njia baharini wakati wa usiku.


==Nyota na magimba ya anga==
==Nyota na magimba ya anga==
Katika eneo la Kausi wanaastronomia walitambua magimba ya angani kadhaa ya maana. Hizi ni pamoja na
Katika eneo la Mshale wanaastronomia walitambua magimba ya angani kadhaa ya maana. Hizi ni pamoja na
*Alfa Sagittarii ambayo ni chanzo cha mawimbi ya redio; inaaminiwa ya kwamba mawimbi haya ni dalili za kuwepo kwa [[shimo cheusi]] kubwa sana linaloitwa "Sagittarius A*"; linatazamiwa kuwa shimi jeusi kuu kwenye kitovu cha galaksi yetu yaani [[Njia Nyeupe]].
*Alfa Sagittarii ambayo ni chanzo cha mawimbi ya redio; inaaminiwa ya kwamba mawimbi haya ni dalili za kuwepo kwa [[shimo cheusi]] kubwa sana linaloitwa "Sagittarius A*"; linatazamiwa kuwa shimi jeusi kuu kwenye kitovu cha galaksi yetu yaani [[Njia Nyeupe]].
*[[Nebula]] kadhaa zilizoandikishwa katika [[orodha ya Messier]] kama vile nebula za lagoon, omega na red spider.
*[[Nebula]] kadhaa zilizoandikishwa katika [[orodha ya Messier]] kama vile nebula za lagoon, omega na red spider.

Pitio la 11:19, 8 Januari 2019

Kwa habari za sayari (wakati mwingine kwa kosa huitwa pia "Kausi") angalia hapa Neptun; kwa matumizi mengine ya jina "Sagittarius" angalia hapa Sagittarius

Nyota za Mahale au Kausi angani (mistari imeongezwa kwenye picha tu)
Mshale (Kausi - Sagittarius) jinsi inavyochorwa na msanii

Mshale (pia Kausi au Sagittarius[1] kwa Kilatini/Kiingereza) ni jina la kundinyota kwenye zodiaki.

Nyota za Mshale huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi. Kwa hiyo kundinyota "Mshale" inaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoiona kutoka Duniani.

Jina

Mshale ni tafsiri ya Kausi. Mabaharia Waswahili wamejua nyota hizi kwa muda mrefu kwa jina la Kausi linalotokana na neno la Kiarabu Kaus قوس linalomaanisha "upinde", maana hii ni karibu sawa na jina la Kilatini "Sagittarius" (mpiga upinde). Wataalamu wa kale waliona katika nyota zake picha ya mtu anayekalia juu ya farasi akishika pinde na kulenga mshale.

Jina la "Kaus" limetumiwa pia katika astronomia ya kimagharibi kutaja nyota kadhaa zilizomo hapa kama vile Kaus Australis, Kaus Medius na Kaus Borealis.

Katika vitabu kadhaa vya shule za msingi nchini Tanzania "Kausi" imetumiwa kwa kosa kutaja sayari ya nane katika mfumo wa jua letu yaani Neptun.

Kuonekana

Mshale inaonekana pale angani ambako njia nyeupe inang'aa zaidi yaani kuelekea kitovu cha galaksi yetu.

Mshale ni kati ya kundinyota zilizojulikana tangu karne nyingi zikitumiwa hasa na mabaharia kutafuta njia baharini wakati wa usiku.

Nyota na magimba ya anga

Katika eneo la Mshale wanaastronomia walitambua magimba ya angani kadhaa ya maana. Hizi ni pamoja na

  • Alfa Sagittarii ambayo ni chanzo cha mawimbi ya redio; inaaminiwa ya kwamba mawimbi haya ni dalili za kuwepo kwa shimo cheusi kubwa sana linaloitwa "Sagittarius A*"; linatazamiwa kuwa shimi jeusi kuu kwenye kitovu cha galaksi yetu yaani Njia Nyeupe.
  • Nebula kadhaa zilizoandikishwa katika orodha ya Messier kama vile nebula za lagoon, omega na red spider.
Jina la
(Bayer)
Namba ya
Flamsteed
Jina
(Ukia)
Mwangaza
unaoonekana
Umbali
(miaka ya nuru)
Aina ya spektra
ε 20 Kaus Australis 1,9m 143 B9.5 III
σ Nunki 2,05m 224 B2.5 V
ζ 38 Ascella 2,60m 89 A3 IV
δ 19 Kaus Media 2,72m ca. 350 K3 III
λ 22 Kaus Borealis 2,82m 78 K0 IV
π 41 Albaldah 2,88m 440 F2 II/III
γ 10 Alnasl 2,98m 96 K0 III
η 3,10m 149 M2 III
φ 27 3,17m 231 B8.5 III
τ 40 3,31m 120 K1 / K2III
ξ2 37 3,52m 372 G8 / K0II/III
ο 39 3,76m 139 K0 III
μ 13 Polis 3,84m 3912 B2 III
ρ1 44 3,92m 122 F0 III/IV
β1 Arkab Prior 3,96m 378 B9 V
α Rukuba ya Rami (α Sgr) 3,97m 170 B8 V
ι 4,12m 189 K0 III
β2 Arkab Posterior 4,27m 139 F2 III

Tanbihi

  1. Uhusika milikishi (en:genitive) ya neno "Sagittarius" katika lugha ya Kilatini ni "Sagittarii" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Sagittarii, nk.

Marejeo

  • kuhusu jina: Jan Knappert, The Swahili names of stars, planets and constellations; makala katika jarida la The Indian Ocean Review, Perth, Australia September 1993, uk. 7


Makundinyota ya Zodiaki
Majina ya kisasa yanafuatwa kwa mabano na jina la mabaharia na jina la Kilatini (la kimataifa)

Kaa (Saratani – Cancer )Kondoo (Hamali – Aries )Mapacha (Jauza – Gemini )Mashuke (Nadhifa – Virgo )Mbuzi (Jadi – Capricornus )MizaniLibra )Mshale (Kausi – Sagittarius )Ndoo (Dalu – Aquarius )Nge (Akarabu – Scorpius )Ng'ombe (Tauri – Taurus )Samaki (Hutu – Pisces )Simba (Asadi – Leo )


Mradi wa Astronomia Makala hii imewahi kukaguliwa na kuboreshwa kwenye warsha ya pamoja ya Jenga Wikipedia ya Kiswahili, Wikimedia Community User Group Tanzania na ASSAT. Imepewa hali ya ulinzi. Tunaomba mapendekezo yote ya usahihisho na nyongeza zipelekwe kwanza kwenye ukurasa wa majadiliano