Kireno : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 142.227.239.229 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Baba Tabita
Tag: Rollback
Mstari 34: Mstari 34:
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/port1283 lugha ya Kireno katika Glottolog]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/port1283 lugha ya Kireno katika Glottolog]
*http://www.ethnologue.com/language/por
*http://www.ethnologue.com/language/por
*http://www.rtp.pt/play/direto/rtpafrica


{{mbegu-lugha}}
{{mbegu-lugha}}

Pitio la 00:55, 18 Desemba 2018

Nchi penye Kireno kama lugha rasmi

Kireno (Português - tamka "purtuGESH") ni lugha ya Kirumi inazungumunzwa nchini za Africa Kusini, Ureno na (Brazil). Imekuwa lugha ya kimataifa kutokana na historia ya ukoloni ya Ureno yenye wasemaji wa lugha ya kwanza milioni 190, pamoja na wasemaji wa lugha ya pili kuna watu milioni 200 duniani wanaoelewana kwa Kireno.

Kutokana na historia ya ukoloni Kireno limepatikana katika nchi zifuatazo:

Kireno kama lugha rasmi:

Ulaya, Africa na Amerika.

Kieneo

Historia ya lugha

Kireno ni moja kati ya lugha za Kirumi maana yake kimetokana na Kilatini cha Dola la Roma lililotawala eneo la Ureno kwa karne nyingi.

Ni karibu hasa na Kigalicia kinachozungumzwa katika Hispania ya Kaskazini.

Wareno waliacha lugha yao katika koloni zao. Leo hii idadi ya wasemaji katika Ureno ni milioni 10 tu - idadi kubwa kabisa wako nje ya Ureno hasa Brazil.

Ureno ilisambaa zaidi katika karne ya 20 kwa sababu Wareno waliondoka Ureno kutafuta kazi katika nchi nyingi za Ulaya. Vilevile kuna Wabrazil na Waangola waliotoka kwao kuhamia penginepo wakienda na lugha yao.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kireno kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.