Visiwa vya Mariana : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 50 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q153732 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Casta Marianas.jpg|thumb|right|450px|]]
[[Picha:Casta Marianas.jpg|thumb|right|450px|]]
'''Visiwa vya Mariana''' ni [[funguvisiwa]] ya [[Pasifiki]] ya magharibi takriban katikati ya [[Papua Guinea Mpya]] na [[Japani]]. Vyahesabiwa kati ya visiwa vya [[Melanesia]].
'''Visiwa vya Mariana''' ni [[funguvisiwa]] la [[Pasifiki]] ya [[magharibi]], takriban katikati ya [[Papua Guinea Mpya]] na [[Japani]]. Vyahesabiwa kati ya [[visiwa]] vya [[Melanesia]].


Kwa jumla ni safu ya visiwa 15 vyenye asili ya kivolkeno kati ya [[anwani ya kijiografia|12 hadi 21N na mnamo 145E]].
Kwa jumla ni safu ya visiwa 15 vyenye [[asili]] ya [[volkeno]] kati ya [[anwani ya kijiografia|12 hadi 21N na mnamo 145E]].


Vyote ni [[maeneo ya ng'ambo ya Marekani]] inayotawala funguvisiwa kama vitengo viwili vya pekee:
Vyote ni [[maeneo ya ng'ambo ya Marekani]] inayotawala funguvisiwa hilo kama vitengo viwili vya pekee:


* [[Visiwa vya Mariana ya Kaskazini]] ambavyo ni idadi kubwa ya visiwa hivi na eneo lenye madaraka ya kujitawala
* [[Visiwa vya Mariana ya Kaskazini]] ambavyo ni idadi kubwa ya visiwa hivi na eneo lenye madaraka ya kujitawala


* [[Guam]] ambayo ni kisiwa kikubwa pekee ambacho ni kituo cha kijeshi cha Marekani.
* [[Guam]] ambayo ni kisiwa kikubwa pekee ambacho ni kituo cha kijeshi cha Marekani.
{{mbegu-jio}}

{{DEFAULTSORT:Mariana, Visiwa vya}}
{{DEFAULTSORT:Mariana, Visiwa vya}}
[[Jamii:Visiwa vya Pasifiki]]
[[Jamii:Visiwa vya Pasifiki]]

Pitio la 11:31, 6 Desemba 2018

Visiwa vya Mariana ni funguvisiwa la Pasifiki ya magharibi, takriban katikati ya Papua Guinea Mpya na Japani. Vyahesabiwa kati ya visiwa vya Melanesia.

Kwa jumla ni safu ya visiwa 15 vyenye asili ya volkeno kati ya 12 hadi 21N na mnamo 145E.

Vyote ni maeneo ya ng'ambo ya Marekani inayotawala funguvisiwa hilo kama vitengo viwili vya pekee:

  • Guam ambayo ni kisiwa kikubwa pekee ambacho ni kituo cha kijeshi cha Marekani.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.