George H. Bush : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 40: Mstari 40:
|website = {{url|bushlibrary.tamu.edu|Presidential Library}}
|website = {{url|bushlibrary.tamu.edu|Presidential Library}}
}}
}}
'''George Herbert Walker Bush''' (alizaliwa [[12 Juni]] [[1924]]) alikuwa Rais wa 41 wa [[Marekani]] kuanzia mwaka wa [[1989]] hadi [[1993]]. Kaimu Rais wake alikuwa [[Dan Quayle]].
'''George Herbert Walker Bush''' ( [[12 Juni]] [[1924]] - [[30 Novemba]] [[2018]]) alikuwa Rais wa 41 wa [[Marekani]] kuanzia mwaka wa [[1989]] hadi [[1993]]. Kaimu Rais wake alikuwa [[Dan Quayle]].

Akijulikana kama George Bush aliwahi kuwa mbunge, balozi wa Marekani, mkuu wa mamlaka ya upelelezi CIA na makamu wa rais [[Ronald Reagan]]. Alikuwa mwanasiasa wa [[Chama cha Jamhuri cha Marekani|Chama cha Jamhuri cha Marekani (Republican)]].

Kipindi cha uraisi wa Bush kiliona kuporomoka kwa [[ukomunisti]] katika [[Urusi]] na [[Ulaya ya Mashariki]] na mwisho wa [[vita baridi]]. Alitafuta maelewano na viongozi wa Urusi na kukubali maungano ya [[Ujerumani]]. Alituma jeshi la Marekani kwenye uvamizi wa Panama mwaka 1989 uliompindua dikteta Manuel Noriga na kwenye vita dhidi [[Irak]] iliyowahi kushambulia [[Kuwait]].

Mwana wake [[George W. Bush|George Walker]] aliingia pia katika siasa akaendelea kuwa rais wa 43 wa Marekani.


== Tazamia pia ==
== Tazamia pia ==
Mstari 51: Mstari 57:
{{DEFAULTSORT:Bush, George Herbert}}
{{DEFAULTSORT:Bush, George Herbert}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1924]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1924]]
[[jamii:Walifariki 2018]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Marais wa Marekani]]
[[Jamii:Marais wa Marekani]]

Pitio la 08:16, 3 Desemba 2018

George H. W. Bush


Makamu wa Rais Dan Quayle
mtangulizi Ronald Reagan
aliyemfuata Bill Clinton

tarehe ya kuzaliwa 12 Juni 1924 (1924-06-12) (umri 99)
ndoa Barbara Pierce (m. 1945–present) «start: (1945-01-06)»"Marriage: Barbara Pierce to George H. Bush" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/George_H._Bush)
signature
tovuti Presidential Library

George Herbert Walker Bush ( 12 Juni 1924 - 30 Novemba 2018) alikuwa Rais wa 41 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1989 hadi 1993. Kaimu Rais wake alikuwa Dan Quayle.

Akijulikana kama George Bush aliwahi kuwa mbunge, balozi wa Marekani, mkuu wa mamlaka ya upelelezi CIA na makamu wa rais Ronald Reagan. Alikuwa mwanasiasa wa Chama cha Jamhuri cha Marekani (Republican).

Kipindi cha uraisi wa Bush kiliona kuporomoka kwa ukomunisti katika Urusi na Ulaya ya Mashariki na mwisho wa vita baridi. Alitafuta maelewano na viongozi wa Urusi na kukubali maungano ya Ujerumani. Alituma jeshi la Marekani kwenye uvamizi wa Panama mwaka 1989 uliompindua dikteta Manuel Noriga na kwenye vita dhidi Irak iliyowahi kushambulia Kuwait.

Mwana wake George Walker aliingia pia katika siasa akaendelea kuwa rais wa 43 wa Marekani.

Tazamia pia

}}

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George H. Bush kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.