Tofauti kati ya marekesbisho "Maradhi ya zinaa"

Jump to navigation Jump to search
2 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
 
== Wingi wa maradhi hayo na maambukizi yake ==
[[File:AIDS and HIV prevalence 2008.svg|thumb|upright=1.2|alt= A map of the world where most of the land is colored green or yellow except for sub Saharan Africa which is colored red|[[Asilimia]] ya watu wenye umri wa miaka 15–49 walioambukizwa UKimwiUKIMWI nchi kwa nchi ([[2011]]).<ref>{{cite web|title=AIDSinfo|url=http://www.unaids.org/en/dataanalysis/datatools/aidsinfo/|work=UNAIDS|accessdate=4 March 2013}}</ref>{{Col-begin}}
{{Col-break}}
{{legend|#787878|<small>No data</small>}}
 
== Maambukizi ya magonjwa ya zinaa ==
Magonjwa ya zinaa huambukizwa na wakala wa magonjwa – [[bakteria]] wadogowadogo, [[virusi]], [[parasitesvidusia]], [[fungi]] na [[protozoa]] wakaao katika sehemu vuguvugu na zenye unyevunyevu katika mwili kama vile [[sehemu za siri]], [[mdomoni]] na [[kooni]]. Magonjwa mengi ya zinaa husambaa wakati wa [[kujamiiana]] (katika [[uke]] au mkunduni), lakini aina nyingine za kukutana kimapenzi kama kwa kutumia midomo (''oral sex'') zinaweza kusambaza magonjwa.
 
Magonjwa mengine ya zinaa yanaweza kusambazwa kwa njia nyingine zaidi ya [[kujamiiana]]. Magonjwa fulani ya zinaa yanayosababishwa na [[virusi]] kama [[UKIMWI]] yanaweza kuambukizwa kwa kukutana na [[damu]] iliyoathirika. Kwa mfano, magonjwa yanayosababishwa na virusi yanaweza kusafiri miongoni mwa watu wanaochangia sindano zilizo na maambukizi, na mtu anaweza kupata maambukizi kwa kupokea dawa iliyoambukizwa. Baadhi ya magonjwa ya zinaa huambukiza kwa kutoka kwa mama hadi kwa mtoto. Maambukizi yanaweza kutokea kabla ya kuzaliwa, wakati vijidudu vikifanikiwa kupita katika [[kondo la uzazi]] (''placenta'', ogani katika [[mji wa mimba]] wa [[mwanamke mjamzito]] ambayo huunganisha mfumo wa damu ya mama na wa mtoto) na kuingia katika mkondo wa damu wa mtoto. Maambukizi pia huweza kutokea wakati wa kujifungua, wakati mtoto anapopita katika njia ya uzazi au baada kujifungua, wakati mtoto anapotumia [[maziwa]] yaliambukizwa.

Urambazaji