Brahmagupta : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Hindu astronomer, 19th-century illustration.jpg|thumbnail|Brahmagupta]]
[[Picha:Hindu astronomer, 19th-century illustration.jpg|thumbnail|Brahmagupta]]
'''Brahmagupta''' ([[Kisanskrit]]: ब्रह्मगुप्त)) ([[597]]–[[668]] [[BK]]) alikuwa [[Mhindi]] [[mtaalamu]] wa [[hisabati]] na [[astronomia]] anayekumbukwa kwa [[maandishi]] yake kuhusu fani hizo mbili.
'''Brahmagupta''' ([[Kisanskrit]]: ब्रह्मगुप्त)) ([[597]]–[[668]] [[BK]]) alikuwa [[Mhindi]] [[mtaalamu]] wa [[Hisabati]] na [[astronomia]] anayekumbukwa kwa [[maandishi]] yake kuhusu fani hizo mbili.


Alikuwa msimamizi wa [[kituo cha astronomia]] [[Mji|mjini]] [[Ujjain]] ([[Madhya Pradesh]]).
Alikuwa msimamizi wa [[kituo cha astronomia]] [[Mji|mjini]] [[Ujjain]] ([[Madhya Pradesh]]).
Mstari 12: Mstari 12:
[[jamii:wanaastronomia wa Uhindi]]
[[jamii:wanaastronomia wa Uhindi]]
[[jamii:wanahisabati wa Uhindi]]
[[jamii:wanahisabati wa Uhindi]]
{{wikinyota}}

Pitio la 08:55, 25 Novemba 2018

Brahmagupta

Brahmagupta (Kisanskrit: ब्रह्मगुप्त)) (597668 BK) alikuwa Mhindi mtaalamu wa Hisabati na astronomia anayekumbukwa kwa maandishi yake kuhusu fani hizo mbili.

Alikuwa msimamizi wa kituo cha astronomia mjini Ujjain (Madhya Pradesh).

Brahmagupta alikuwa mwanahisabati wa kwanza anayejulikana kutunga sheria za kupiga hesabu kwa kutumia sifuri. Alitunga pia sheria za hesabu kwa namba hasi.

Katika fani ya astronomia alipinga mafundisho ya siku zake kuwa dunia ni tambarare akasisitiza ni tufe. Pia alipinga mafundisho kuwa mwezi uko mbali kuliko jua akaonyesha kuwa sharti mwezi uwe karibu zaidi.

Mradi wa Astronomia Makala hii imewahi kukaguliwa na kuboreshwa kwenye warsha ya pamoja ya Jenga Wikipedia ya Kiswahili, Wikimedia Community User Group Tanzania na ASSAT. Imepewa hali ya ulinzi. Tunaomba mapendekezo yote ya usahihisho na nyongeza zipelekwe kwanza kwenye ukurasa wa majadiliano