Voyager 1 : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Voyager.jpg|thumb|300px|Voyager 1]]
[[File:Voyager.jpg|thumb|300px|Voyager 1]]
[[File:Voy1 8feb2012.jpg|thumb|300px|Njia ya Voyager 1 hadi mwaka 2012]]
[[File:Voy1 8feb2012.jpg|thumb|300px|Njia ya Voyager 1 hadi mwaka 2012]]
'''Voyager 1''' ni [[chombo cha angani]] kilichorushwa mwaka 1977 na shirika la [[NASA]] nchini [[Marekani]] kwa kusudi la kupeleleza anga katika [[mfumo wa jua]] letu hadi [[anga la nje]] kati ya nyota. Inaendelea kufanya kazi na kutuma data inayokusanya kwa kutumia vyombo vya upimaji ndani yake.
'''Voyager 1''' ni [[chombo cha angani]] kilichorushwa mwaka 1977 na shirika la [[NASA]] nchini [[Marekani]] kwa kusudi la kupeleleza anga katika [[mfumo wa jua]] letu hadi [[anga-nje]] kati ya nyota. Inaendelea kufanya kazi na kutuma data inayokusanya kwa kutumia vyombo vya upimaji ndani yake.

==Chomboanga cha mbali kutoka dunia==
==Chomboanga cha mbali kutoka dunia==
Voyager 1 ni chombo cha kutengenezwa na binadamu kilichofikia umbali mkubwa na dunia yaani 123.5 vizio astronomia vinavyolingana na kilomita bilioni 18.35; nuru ya jua inahitaji zadi ya masaa 17 kufikia voyager 1 (hali ya Desemba 2012).

Mwaka 2012 ilitembea nje ya mzingo wa [[Pluto]] katika kanda la heliosheath penye mata ya mwisho inayoshikwa na [[graviti]] ya [[jua]] ikiandaa kuondoka katika mfumo wa jua letu kabisa na kuingia anga kati ya nyota.
Mwaka 2012 ilitembea nje ya mzingo wa [[Pluto]] katika kanda ya heliosheath penye mata ya mwisho inayoshikwa na [[graviti]] ya [[jua]] ikiandaa kuondoka katika mfumo wa jua letu kabisa na kuingia anga kati ya nyota.

Voyager 1 ilipita karibu na sayari za Jupiter na Saturn na kupiga picha za sayari hizi na miezi yao. Inaendelea kupima mnururisho uliopo angani na kutuma data duniani. Inachukua nguvu yake kutoka beteri zenye [[Plutoni]] nururifu zinazopangwa kutoa umeme hadi mwaka 2020.

Mstari 45: Mstari 45:

[[Category:Usafiri wa angani]]
[[Category:Usafiri wa angani]]
{{wikinyota}}

Pitio la 14:20, 24 Novemba 2018

Voyager 1
Njia ya Voyager 1 hadi mwaka 2012

Voyager 1 ni chombo cha angani kilichorushwa mwaka 1977 na shirika la NASA nchini Marekani kwa kusudi la kupeleleza anga katika mfumo wa jua letu hadi anga-nje kati ya nyota. Inaendelea kufanya kazi na kutuma data inayokusanya kwa kutumia vyombo vya upimaji ndani yake.

Chomboanga cha mbali kutoka dunia

Voyager 1 ni chombo cha kutengenezwa na binadamu kilichofikia umbali mkubwa na dunia yaani 123.5 vizio astronomia vinavyolingana na kilomita bilioni 18.35; nuru ya jua inahitaji zadi ya masaa 17 kufikia voyager 1 (hali ya Desemba 2012).

Mwaka 2012 ilitembea nje ya mzingo wa Pluto katika kanda ya heliosheath penye mata ya mwisho inayoshikwa na graviti ya jua ikiandaa kuondoka katika mfumo wa jua letu kabisa na kuingia anga kati ya nyota.

Voyager 1 ilipita karibu na sayari za Jupiter na Saturn na kupiga picha za sayari hizi na miezi yao. Inaendelea kupima mnururisho uliopo angani na kutuma data duniani. Inachukua nguvu yake kutoka beteri zenye Plutoni nururifu zinazopangwa kutoa umeme hadi mwaka 2020.

Kupita mipaka ya mfumo wa jua

Voyager 1 imeshapita katika Ukanda wa Kuiper ikieleka sasa kwenda wingu la Oort. Imeshapita eneo la heliosferi.

Voyager 1 inaendelea huko gizani na mwezi wa Februari 2017 ilifika umbali wa km bilioni 20.6 au vizio astronomia (umbali kati ya jua na dunia) 138. Bado inatuma data kuhusu uga sumaku ya jua. Watafiti kutoka Ugiriki (Dialynas Kostas na wengine) walitumia data zake pamoja na Voyager 2 na Cassini kusema kumbe heliosferi ina umbo la tufe bila mkia mkubwa jinsi iliyoaminiwa awali.[1]

Picha za Mshtarii (Jupiter) zilizotumwa na Voyager 1

Saturn

Marejeo

  1. [Nature.com/articles/s41550-017-0115 Hitimisho la utafiti wa Kostas]

Viungo vya nje

Mradi wa Astronomia Makala hii imewahi kukaguliwa na kuboreshwa kwenye warsha ya pamoja ya Jenga Wikipedia ya Kiswahili, Wikimedia Community User Group Tanzania na ASSAT. Imepewa hali ya ulinzi. Tunaomba mapendekezo yote ya usahihisho na nyongeza zipelekwe kwanza kwenye ukurasa wa majadiliano