Kinyonga (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
|||
Mstari 7: | Mstari 7: | ||
==Jina== |
==Jina== |
||
Kinyonga |
Kinyonga inapatikana kati ya kundinyota zilizobuniwa tangu mabaharia Wazungu walipozunguka Dunia yote katika karne ya 16 na kuona mara ya kwanza nyota za kusini. Hazikutajwa katika vitabu vya Wagiriki wa Kale au vya Waarabu. Kundinyota hii ilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika [[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]]. Baadaye ilipokelewa katika "Uranometria" ya [[Johann Bayer]]<ref>Allen (tazama marejeo) hakuwa na habari za Placius hivyo aliandika ni Bayer aliyetangaza Kinyonga mara ya kwanza.</ref>. |
||
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] la '' Het Chameljoen '' ([[Kinyonga]]) iliyotajwa baadaye kwa jina la Kigirikiki „Chamaeleon“. |
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] la '' Het Chameljoen '' ([[Kinyonga]]) iliyotajwa baadaye kwa jina la Kigirikiki „Chamaeleon“. |
||
Leo iko pia |
Leo iko pia katika orodha ya kundinyota 88 ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>. Kifupi rasmi ni ‘Cha’. |
||
==Nyota== |
==Nyota== |
||
Nyota angavu zaidi ni <big>α</big> Alfa Chamaeleontis yenye [[ |
Nyota angavu zaidi ni <big>α</big> Alfa Chamaeleontis yenye [[mwangaza unaoonekana]] wa 4.07 [[mag]] ikiwa umbali wa Dunia wa [[miakanuru]] 63.5<ref>[http://stars.astro.illinois.edu/sow/alphacha.html Alpha Cha (Alpha Chamaeleontis)], tovuti ya Prof. Jim Kaler, university of Illinois, iliangaliwa Oktoba 2017</ref> |
||
Kwa jumla kuna nyota nne angavu kiasi, nje ya <big>α</big>Cha ni <big>β</big>Cha (mag 2.2), <big>γ</big>Cha (mag 4.1) na <big>δ</big>Cha (mag 5.5). |
Kwa jumla kuna nyota nne angavu kiasi, nje ya <big>α</big>Cha ni <big>β</big>Cha (mag 2.2), <big>γ</big>Cha (mag 4.1) na <big>δ</big>Cha (mag 5.5). |
Pitio la 13:52, 24 Novemba 2018
Kinyonga (kwa Kilatini na Kiingereza Chamaeleon) [1] ni jina la kundinyota ndogo kwenye nusutufe ya kusini ya dunia yetu.
Mahali pake
Kinyonga iko karibu na ncha ya anga ya kusini. Inapakana na kundinyota Nzi ( Musca), Mkuku (en:Carina) na Panzimaji (en:Volans) upande wa kaskazini, Meza (en:Mensa) upande wa mashariki, Thumni (Octans) upande wa kusini na Ndege wa Peponi (Apus) upande wa magharibi.
Jina
Kinyonga inapatikana kati ya kundinyota zilizobuniwa tangu mabaharia Wazungu walipozunguka Dunia yote katika karne ya 16 na kuona mara ya kwanza nyota za kusini. Hazikutajwa katika vitabu vya Wagiriki wa Kale au vya Waarabu. Kundinyota hii ilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi Pieter Dirkszoon Keyser na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea Indonesia zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika globu ya nyota ya Petrus Plancius. Baadaye ilipokelewa katika "Uranometria" ya Johann Bayer[2].
Keyser alitumia jina la Kiholanzi la Het Chameljoen (Kinyonga) iliyotajwa baadaye kwa jina la Kigirikiki „Chamaeleon“.
Leo iko pia katika orodha ya kundinyota 88 ya Umoja wa Kimataifa wa Astronomia [3]. Kifupi rasmi ni ‘Cha’.
Nyota
Nyota angavu zaidi ni α Alfa Chamaeleontis yenye mwangaza unaoonekana wa 4.07 mag ikiwa umbali wa Dunia wa miakanuru 63.5[4]
Kwa jumla kuna nyota nne angavu kiasi, nje ya αCha ni βCha (mag 2.2), γCha (mag 4.1) na δCha (mag 5.5).
Tanbihi
- ↑ Uhusika milikishi (en:genitive) ya neno "Chamaeleon" katika lugha ya Kilatini ni "Chamaeleontis" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Chamaeleontis, nk.
- ↑ Allen (tazama marejeo) hakuwa na habari za Placius hivyo aliandika ni Bayer aliyetangaza Kinyonga mara ya kwanza.
- ↑ The Constellations, tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017
- ↑ Alpha Cha (Alpha Chamaeleontis), tovuti ya Prof. Jim Kaler, university of Illinois, iliangaliwa Oktoba 2017
Viungo vya Nje
- Constellation Guide: Chamaeleon constellation
- The Deep Photographic Guide to the Constellations: Chamaeleon
- Star Tales – Chamaeleon
- Richard Hinckley Allen: Star-Names and their Meanings; kwa G. E. Stechert New York, Leipzig, London, Paris 1899, ukurasa 165 ff (linganisha tanbihi za juu kuhusu jina) (online kwenye archive.org)