Haumea : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4: Mstari 4:
Haumea ina [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] miwili: [[Hiiaka]] na [[Namaka]].
Haumea ina [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] miwili: [[Hiiaka]] na [[Namaka]].


Haumea inapita [[obiti]] yake ya kuzunguka Jua katika [[muda]] wa miaka 283 na miezi 6.<ref>[http://www.johnstonsarchive.net/astro/astmoons/am-136108.html (136108) Haumea, Hi'iaka, and Namaka ], data za haumea kwenye tovuti ya johnstonsarchive.net, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
Haumea inapita [[obiti|Njia Mzingo]] yake ya kuzunguka Jua katika [[muda]] wa miaka 283 na miezi 6.<ref>[http://www.johnstonsarchive.net/astro/astmoons/am-136108.html (136108) Haumea, Hi'iaka, and Namaka ], data za haumea kwenye tovuti ya johnstonsarchive.net, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>


[[Periheli]] yake ina umbali wa [[vizio astronomia]] 35, [[afeli]] wa vizio astronomia 51 kutoka Jua.
[[Periheli]] yake ina umbali wa [[vizio astronomia]] 35, [[afeli]] wa vizio astronomia 51 kutoka Jua.

Pitio la 13:41, 24 Novemba 2018

Kielelezo cha Haumea

Haumea ni sayari kibete inayozunguka jua letu katika umbali mkubwa kwenye ukanda wa Kuiper. Ilitambuliwa mwaka 2004.

Haumea ina miezi miwili: Hiiaka na Namaka.

Haumea inapita Njia Mzingo yake ya kuzunguka Jua katika muda wa miaka 283 na miezi 6.[1]

Periheli yake ina umbali wa vizio astronomia 35, afeli wa vizio astronomia 51 kutoka Jua.

Obiti ina mwinamo wa nyuzi 28,2° dhidi ya ekliptiki.

Masi yake ni takriban theluthi moja ya Pluto. Umbo halifanani na tufe; umbo la Haumea limefananishwa na kiazi au sigara. Vipimo vyake vinakadiriwa kuwa kilomita 2,322 × 1,701 × 1,138.

Nadharia moja inajaribu kueleza umbo na mzunguko wake wa haraka kutokana na mgongano na gimba kubwa takriban miaka bilioni 4 iliyopita.[2]. Kutokana na mgongano huu inadhaniwa ya kwamba vipande vingi vya gimba la awali viliachana na Haumea vikiifuata sasa kama wingu la vipande vidogo.[3]

Marejeo

  1. (136108) Haumea, Hi'iaka, and Namaka , data za haumea kwenye tovuti ya johnstonsarchive.net, iliangaliwa Oktoba 2017
  2. Haumea the strangest known object in the Kuiper belt, tovuti ya Caltech, iliangaliwa Oktoba 2017
  3. A collisional family of icy objects in the Kuiper belt, hitimisho ya makala kwenye tovuti ya nature.com, Nature 446, 294-296 (15 March 2007), iliangaliwa Oktoba 2017

Viungo vya nje