Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:FAO logo.svg|thumb|200px|Nembo la FAO]]
[[Picha:FAO logo.svg|thumb|200px|Nembo la FAO]]
'''Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa''' ([[Ing.]] Food and Agriculture Organzation of the United Nations ('''FAO''')) ni kitengo cha [[Umoja wa Mataifa]] kinachopambana na tatizo la njaa duniani.
'''Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa''' (kwa [[Kiingereza]]: "Food and Agriculture Organzation of the United Nations"; [[kifupi]]: '''FAO''') ni kitengo cha [[Umoja wa Mataifa]] kinachopambana na tatizo la [[njaa]] [[duniani]].


Inalenga kuboresha uzalishaji na ugawaji wa mazao na vyakula duniani kwa shabaha ya kuboresha hali ya malisho ya watu duniani.
Inalenga kuboresha [[uzalishaji]] na ugawaji wa [[mazao]] na [[vyakula]] duniani kwa shabaha ya kuboresha hali ya [[lishe]] ya [[watu]] duniani.


FAO iliundwa tar. [[16 Oktoba]] [[1945]] mjini [[Québec]] nchini [[Kanada]]. [[1951]] makao makuu yalihamishwa kwenda [[Roma]], [[Italia]]. Mwaka 2007 nchi 191 pamoja na [[Umoja wa Ulaya]] zilikuwa wanachama. Tangu 1981 siku ya 16 Oktoba hukumbukwa kila mwaka kama "Siku ya Chakula Duniani".
FAO iliundwa [[tarehe]] [[16 Oktoba]] [[1945]] [[Mji|mjini]] [[Québec]] nchini [[Kanada]]. Tangu mwaka [[1981]] tarehe hiyo hukumbukwa kila mwaka kama "Siku ya Chakula Duniani".


[[Mwaka]] [[1951]] [[makao makuu]] yalihamishwa kwenda [[Roma]], [[Italia]].
Shughuli za FAO ziko hasa za aina nne:
# FAO inawasilisha mawasiliano kati ya wataalamu kwenye uwanja wa lishe na chakula. Inaajiri wataalamu wa kilimo, bilojia, misitu, uvuvi na ufugaji. Inaendesha semina na warsha ya kimataifa ambako watalaamu wanakutana na kubadilishana habari na mawazo. Tovuti ya FAO inakusanya habari husika na inatembelewa zaidi ya mara milioni kila mwezi.
# FAO inatuma washauri katika nchi nyingi wanaosaidia kupanga sera ya kilimo.
# FAO inakutanisha serikali za nchi nyingi katika maswala ya lishe na kilimo.
# FAO inakusanya ujuzi kwa kazi ya kila siku, inaongoza au kushauri miradi mielfu ya kilimo kote duniani. Pamoja na Mradi wa Lishe Duniani inasaidia pia katika maeneo penye njaa kwa kuleta msaada wa haraka kwa watu wasio na chakula.


Mwaka [[2007]] nchi 191 pamoja na [[Umoja wa Ulaya]] zilikuwa wanachama.
== Ofisi za FAO ==

=== Ofisi za kanda ===
Shughuli za FAO ziko hasa za aina [[nne]]:
# FAO inawasilisha [[mawasiliano]] kati ya [[wataalamu]] kwenye uwanja wa lishe na chakula. Inaajiri wataalamu wa [[kilimo]], [[biolojia]], [[misitu]], [[uvuvi]] na [[ufugaji]]. Inaendesha [[semina]] na [[warsha]] za kimataifa ambako watalaamu wanakutana na kubadilishana habari na mawazo. [[Tovuti]] ya FAO inakusanya habari husika na inatembelewa zaidi ya mara [[milioni]] kila [[Mwezi (wakati)|mwezi]].
# FAO inatuma washauri katika nchi nyingi wanaosaidia kupanga sera za kilimo.
# FAO inakutanisha [[serikali]] za nchi nyingi katika masuala ya lishe na kilimo.
# FAO inakusanya [[ujuzi]] kwa [[kazi]] ya kila siku, inaongoza au kushauri miradi [[elfu]] kadhaa ya kilimo kote duniani. Pamoja na Mradi wa Lishe Duniani inasaidia pia katika maeneo yenye njaa kwa kuleta msaada wa haraka kwa watu wasio na chakula.

== Ofisi za kanda za FAO ==
* [http://www.fao.org/world/regional/raf/index_en.asp Ofisi ya kanda la Afrika] mjini [[Accra]], [[Ghana]]
* [http://www.fao.org/world/regional/raf/index_en.asp Ofisi ya kanda la Afrika] mjini [[Accra]], [[Ghana]]
* [http://www.rlc.fao.org/default.htm Ofisi ya kanda la Amerika Kusini na Karibi] mjini [[Santiago, Chile]]
* [http://www.rlc.fao.org/default.htm Ofisi ya kanda la Amerika Kusini na Karibi] mjini [[Santiago, Chile]]
Mstari 20: Mstari 23:
* [http://www.fao.org/world/Regional/REU/index_en.htm Ofisi ya kanda la Ulaya] kwenye makao makuu ya FAO [[Roma]], [[Italia]]
* [http://www.fao.org/world/Regional/REU/index_en.htm Ofisi ya kanda la Ulaya] kwenye makao makuu ya FAO [[Roma]], [[Italia]]


== Viungo vya nje ==

== Viungo vya Nje ==
* [http://www.fao.org/ Food and Agriculture Organization] (FAO)
* [http://www.fao.org/ Food and Agriculture Organization] (FAO)
** [http://www.feedingminds.org/info/info_level_sw.htm Tovuti ya FAO kwa Siku ya Chakula Duniani (Kiswahili)]
** [http://www.feedingminds.org/info/info_level_sw.htm Tovuti ya FAO kwa Siku ya Chakula Duniani (Kiswahili)]
Mstari 32: Mstari 34:


[[Jamii:Umoja wa Mataifa]]
[[Jamii:Umoja wa Mataifa]]
[[Jamii:Mashirika ya kimataifa]]

Pitio la 12:13, 15 Novemba 2018

Nembo la FAO

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (kwa Kiingereza: "Food and Agriculture Organzation of the United Nations"; kifupi: FAO) ni kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachopambana na tatizo la njaa duniani.

Inalenga kuboresha uzalishaji na ugawaji wa mazao na vyakula duniani kwa shabaha ya kuboresha hali ya lishe ya watu duniani.

FAO iliundwa tarehe 16 Oktoba 1945 mjini Québec nchini Kanada. Tangu mwaka 1981 tarehe hiyo hukumbukwa kila mwaka kama "Siku ya Chakula Duniani".

Mwaka 1951 makao makuu yalihamishwa kwenda Roma, Italia.

Mwaka 2007 nchi 191 pamoja na Umoja wa Ulaya zilikuwa wanachama.

Shughuli za FAO ziko hasa za aina nne:

  1. FAO inawasilisha mawasiliano kati ya wataalamu kwenye uwanja wa lishe na chakula. Inaajiri wataalamu wa kilimo, biolojia, misitu, uvuvi na ufugaji. Inaendesha semina na warsha za kimataifa ambako watalaamu wanakutana na kubadilishana habari na mawazo. Tovuti ya FAO inakusanya habari husika na inatembelewa zaidi ya mara milioni kila mwezi.
  2. FAO inatuma washauri katika nchi nyingi wanaosaidia kupanga sera za kilimo.
  3. FAO inakutanisha serikali za nchi nyingi katika masuala ya lishe na kilimo.
  4. FAO inakusanya ujuzi kwa kazi ya kila siku, inaongoza au kushauri miradi elfu kadhaa ya kilimo kote duniani. Pamoja na Mradi wa Lishe Duniani inasaidia pia katika maeneo yenye njaa kwa kuleta msaada wa haraka kwa watu wasio na chakula.

Ofisi za kanda za FAO

Viungo vya nje