Ritifaa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Apostrophe.svg|thumb|Apostrofi au ritifaa]]
[[Picha:Apostrophe.svg|thumb|Apostrofi au ritifaa]]
'''Ritifaa''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]), pia '''apostrofi''' (kwa [[Kiingereza]]: "apostrophe", kutoka [[Kigiriki]] ἀποστροφή, apostrofee, "ondoleo") ni [[alama ya uakifishaji]] inayoandikwa '.Pia huitwa king'ong'o.
'''Ritifaa''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; pia '''apostrofi''' kutoka [[Kigiriki]] ἀποστροφή, apostrofee, "ondoleo", kupitia [[Kiingereza]]: "apostrophe"; huitwa tena '''king'ong'o''') ni [[alama ya uakifishaji]] inayoandikwa '''''''.


Umbo lake ni sawa na [[mkato]] lakini inakaa juu ya mstari.
[[Umbo]] lake ni sawa na [[mkato]] lakini inakaa juu ya [[mstari]].


Alama hiyo inaonyesha pengine kwamba [[herufi]] au [[silabi]] imeanguka au kupunguzwa, kwa mfano katika [[shairi]], lakini katika herufi "ng'" inatofautisha [[fonimu]] husika na nyingine inayofanana (ng). Baadhi ya [[Neno|maneno]] yenye apostrofi ni [[ng'ombe]] na kung'ata.
[[Alama]] hiyo inaonyesha pengine kwamba [[herufi]] au [[silabi]] imeanguka au kupunguzwa, kwa mfano katika [[shairi]], lakini katika herufi "ng'" inatofautisha [[fonimu]] husika na nyingine inayofanana (ng). Baadhi ya [[Neno|maneno]] yenye apostrofi ni [[ng'ombe]] na kung'ata.


Kwa [[Kiingereza]] ni alama inayotumika zaidi kuonyesha hasa hali ya jambo kuwa [[mali]] ya fulani:
Kwa [[Kiingereza]] ni alama inayotumika zaidi kuonyesha hali ya jambo kuwa [[mali]] ya fulani: * Mike's car = [[gari]] la Mike.
* Mike's car = gari la Mike


{{mbegu-lugha}}
{{mbegu-lugha}}

Pitio la 07:01, 15 Novemba 2018

Apostrofi au ritifaa

'Ritifaa (kutoka neno la Kiarabu; pia apostrofi kutoka Kigiriki ἀποστροφή, apostrofee, "ondoleo", kupitia Kiingereza: "apostrophe"; huitwa tena king'ong'o) ni alama ya uakifishaji inayoandikwa ''.

Umbo lake ni sawa na mkato lakini inakaa juu ya mstari.

Alama hiyo inaonyesha pengine kwamba herufi au silabi imeanguka au kupunguzwa, kwa mfano katika shairi, lakini katika herufi "ng'" inatofautisha fonimu husika na nyingine inayofanana (ng). Baadhi ya maneno yenye apostrofi ni ng'ombe na kung'ata.

Kwa Kiingereza ni alama inayotumika zaidi kuonyesha hali ya jambo kuwa mali ya fulani: * Mike's car = gari la Mike.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ritifaa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.