Ritifaa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Apostrophe.svg|thumb|Apostrofi au ritifaa]]
[[Picha:Apostrophe.svg|thumb|Apostrofi au ritifaa]]
'''Ritifaa''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]), pia '''apostrofi''' (kwa [[Kiingereza]]: "apostrophe", kutoka [[Kigiriki]] ἀποστροφή, apostrofee, "ondoleo") ni [[alama ya uakifishaji]] inayoandikwa '.
'''Ritifaa''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]), pia '''apostrofi''' (kwa [[Kiingereza]]: "apostrophe", kutoka [[Kigiriki]] ἀποστροφή, apostrofee, "ondoleo") ni [[alama ya uakifishaji]] inayoandikwa '.Pia huitwa king'ong'o.


Umbo lake ni sawa na [[mkato]] lakini inakaa juu ya mstari.
Umbo lake ni sawa na [[mkato]] lakini inakaa juu ya mstari.

Pitio la 06:14, 15 Novemba 2018

Apostrofi au ritifaa

Ritifaa (kutoka neno la Kiarabu), pia apostrofi (kwa Kiingereza: "apostrophe", kutoka Kigiriki ἀποστροφή, apostrofee, "ondoleo") ni alama ya uakifishaji inayoandikwa '.Pia huitwa king'ong'o.

Umbo lake ni sawa na mkato lakini inakaa juu ya mstari.

Alama hiyo inaonyesha pengine kwamba herufi au silabi imeanguka au kupunguzwa, kwa mfano katika shairi, lakini katika herufi "ng'" inatofautisha fonimu husika na nyingine inayofanana (ng). Baadhi ya maneno yenye apostrofi ni ng'ombe na kung'ata.

Kwa Kiingereza ni alama inayotumika zaidi kuonyesha hasa hali ya jambo kuwa mali ya fulani:

  • Mike's car = gari la Mike
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ritifaa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.